Napata wakati mgumu kukutana na Mke wangu mtarajiwa

Sipendi babu, huyu hahitaji shuga mami cz hela anazo za kutosha. Anahitaji binti wa kuzila hizo pesa na marupurupu. Ana bahati sina mdogo wa kike, ningemtuma akazilete hizo pesa tumalizie kuweka bati kwenye nyumba ya kijijini kwetu.

Wewe si una binti mpe Mkata Kiu aoe ukiwa kama mama mkwe utaneemeka na huo mshahara wa 1m.
 
 
Helicopter yangu ilikuwa na mechanical failure jana kwahiyo sikuweza kufika - Leo nitapita baadaye maana Mama_Enock ameniazima Ferrari yake..

Hahahahaa.....you have just made my day!!
 
asipoangalia tutamdai hela ya hayo matangazo aliyotuwekea!

amenifanya nicheke sana huyu dogo. Gross ya m1 inamchanganya. Humu kama kila mwana jf angepata mawazo changanyikiwa kama yake na kutaja kipato chake mbona ingekuwa shida jamani. Duh!
 
Anza kuwatafuta vibinti uliosoma nao, kuanzia wa primary hadi chuo. Na hakika kati ya hao wote, haukosi mmoja. Licha la ilo, husiwe na haraka sana sababu miaka mizuri ya kuoa kwa mwanamme ni miaka 30. Una miaka 7 mbele yako ya kutafuta mke mwema, ukitaka kuoa eti kwa sababu unaitaji upendo/mapenzi au mtu wa kuishi nae, utatapeliwa. Na vile vile unaitaji mke wa aina gani, kuanzia elim, uzuri, na mazingira aliyotokea, maana ktk daladala kuna wanawake wa kila dizain, kuanzia wauza sura hadi akina mama huruma. Kuwa makini
 
Mh nasisi tunatafuta kama wewe ila approach uliyotumia... Sijui ! Labda umpate mwenye mashauzi kama yako.
 

Kama wewe ni wa nyumbani ofisini na huna 'social contacts' na binti yeyote asiye ndugu wa karibu basi jaribu kuangalia beki tatu hapo nyumbani kama analipa ujibinafsishie.
 
Wewe si una binti mpe Mkata Kiu aoe ukiwa kama mama mkwe utaneemeka na huo mshahara wa 1m.
1m. Nani kakwambia unaneemesha? Afu binti yng ndo kwanza yupo chekechea, unataka Jk anifunge??
 
Weka vigezo ukutanishwe au ingie hapo juu kwenye live connection my be utapata waubani wako humo.
 
Ina maana hata kanisani huendi? harusini?
 
Bado kijana wewe miaka 23, fanya kazi na jichanganye ukifika miaka 26 hivi anza kufikiria kuoa!
 
hata church inaonekana huend e noma yan kina dada walvyo weng wanatngaza kutafuta wachumba da kama vip tafuta weekend katege pale mwenge wanaposukana huwez kosa
 
Bandika Tangazo kwenye gari yako,alafu uandike vyote ulivyoandika kwenye thread yako uone watakavyo miminika.
 

Jibu utalipata leo. Kwa walengwa wameeshaelewa maana ni watu wazima hawa, siyo lazima utafune maneno yote.
 
Kwanza kabisa hujui hata mapenzi n kitu gani ,kwani huo mshahara na nyumba unayojenga havina uhusiano na mapenzi kabisa ,kwa hiyo umeanza vibaya.
 
tafuta kwa njia ya mtandao,
lunch time kazini,jifunze kwenda sehemu social...zenye watu wengi
kwani mpk jumapili uko busy?
 
labda anasali kwa kakobe
wanawake upande wao na vidume kwao...
Hahahahaha si anatupa jicho kwa mbali akasali pale gapco victoria kuna masista duu kibao wanatafuta wachumba pale
 
[daughter;1942176]Excuse my curiosity,but
Are you a Luo or Haya by any chance?

Ukinijibu nitarudi na ushauri]



hahahaa umenichekesha kweli:happy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…