napata wapi baiskeli za umeme

napata wapi baiskeli za umeme

Hiyo ye pedal ina maana unaweza ukaendesha hata kama betri haina chaji kwa kuchanga kama hizi baiskeli za kawaida?
 
habari wakuu,naomba mnisaidie ni mahali gani kwa dsm wanauza e bikes,na brand gani nzuri,imara na yenye spear zinazopatikana kwa wepesi,pia nisaidieni mawazo mengine kuhusu hizi ebikes kwa wazoefu..
asanteni ninawakilisha wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20190424_105500_9.jpg

Una Bei in nikuachie hio ni ya kucharge iko vzr sana
 
Back
Top Bottom