Wakujibwea45
Member
- Oct 8, 2021
- 62
- 52
Mtaa wa kongo maduka mengi pale wanauza kwa bei izo za 8k na 9k asa mm nilikuwa nataka wanapouza izo jezi kwa bei ya jumla ambapo wanakuja kutuuzia kwa bei ya 8k adi 9kMtaa wa kongo.
Mkuu hapo hapo shimoni kule...M
Mtaa wa kongo maduka mengi pale wanauza kwa bei izo za 8k na 9k asa mm nilikuwa nataka wanapouza izo jezi kwa bei ya jumla ambapo wanakuja kutuuzia kwa bei ya 8k adi 9k
Shukrani ndugu nikifika maeneo hayo nitaulizia zaidiMkuu hapo hapo shimoni kule...
Sawa mkuu...Shukrani ndugu nikifika maeneo hayo nitaulizia zaidi
Kwa bei ya izo ninazoziulizia sio OGSawa mkuu...
Alafu unataka og au sell
Una maanisha nn mkuu, nielekeze.Ukiweza nunua na calculator za jumla ukienda nunua jezi...utanishukuru baadae.
Duuh sijakuelewa hapoKwa bei ya izo ninazoziulizia sio OG
Hizo jezi sio OG ni grade 2 na 3, asa mm nataka kwa bei ya jumla sasa izo jezi ambao wao wanaziuza kwa 8000 na 9000Duuh sijakuelewa hapo
Au ww una maana gani apa unaposema (sell)Sawa mkuu...
Alafu unataka og au sell
Oky nimekupata sasaHizo jezi sio OG ni grade 2 na 3, asa mm nataka kwa bei ya jumla sasa izo jezi ambao wao wanaziuza kwa 8000 na 9000
Yeah ndo ivyo kiongoziOky nimekupata sasa
Habari wadau, naomba kuelekezwa machimbo ya jezi za mpira wa miguu, kuna jezi zinauzwa kariakoo pale kwa sh. 8000 adi 9000 zingine, naweza pata wapi hizi jezi kwa bei ya jumla?
Ule mtandao mkubwa kaka, wale wengi wanachanga wanaaiza nje. Zoezi la kuagiza nje nowadays sio gumu. Pale kun watu wana magodauni huko stoo mzigo wa kutoshaM
Mtaa wa kongo maduka mengi pale wanauza kwa bei izo za 8k na 9k asa mm nilikuwa nataka wanapouza izo jezi kwa bei ya jumla ambapo wanakuja kutuuzia kwa bei ya 8k adi 9k
Na zile grade 1 zinakuwa na bei ganiKibuta anakuwaga nazo elfu 7 n mia tano