Napata wapi chimbo la jezi pale Kariakoo?

Napata wapi chimbo la jezi pale Kariakoo?

M

Mtaa wa kongo maduka mengi pale wanauza kwa bei izo za 8k na 9k asa mm nilikuwa nataka wanapouza izo jezi kwa bei ya jumla ambapo wanakuja kutuuzia kwa bei ya 8k adi 9k
Ule mtandao mkubwa kaka, wale wengi wanachanga wanaaiza nje. Zoezi la kuagiza nje nowadays sio gumu. Pale kun watu wana magodauni huko stoo mzigo wa kutosha
 
Back
Top Bottom