Fika Gerezani, mbele kabisa karibu na reli. Watanzania ni wakarimu, ukifika hapo ulizia, utasaidiwaHabari wanajamii msaada pale karume kuna gari za kwenda kisemvule na zinapaki upande upi
Kama unaenda Wilaya ya Mkuranga, Kibiti au Mikoa ya kusini Lindi, Mtwara, Ruvuma, NJombe, Mbeya via NangurukuruHivi kwanza kisemvule ipo kama unaenda wapi ?
Nipo wapi sijakusomaBado upo mpaka sasahv?
HawapafahamuUlizia walio karibu yako
Mkuu jamaa anaanisha bado karume unasubiti daladala ili akupe liftiNipo wapi sijakusoma
Hawapafahamu
Kama bado upo Karume em tafuta bar kwanza uburudishe nafsi, lala hapo mpaka asubuhi then panda daladala za kwenda Mbagala then utakutana na gari za kwenda kisemvule zimejazana hapo.Nipo wapi sijakusoma
Hawapafahamu
Nipo nyumbani nasafari ya kwenda huko kesho sio leo mkuuKama bado upo Karume em tafuta bar kwanza uburudishe nafsi, lala hapo mpaka asubuhi then panda daladala za kwenda Mbagala then utakutana na gari za kwenda kisemvule zimejazana hapo.
Sawa, hapo Karume panda gari za kwenda Mbagala, then Mbagala utakuta daladala za huko kisemvuNipo nyumbani nasafari ya kwenda huko kesho sio leo mkuu
Safari yangu ni ya kesho sio leo mkuu AsanteMkuu jamaa anaanisha bado karume unasubiti daladala ili akupe lifti
Gereza lipi?Fika gerezani uliza
Gereza la segereaGereza lipi?
KudadekiKama unaenda Wilaya ya Mkuranga, Kibiti au Mikoa ya kusini Lindi, Mtwara, Ruvuma, NJombe, Mbeya via Nangurukuru
😂😂😂Mbeya na kisemvule wapi na wapiKama unaenda Wilaya ya Mkuranga, Kibiti au Mikoa ya kusini Lindi, Mtwara, Ruvuma, NJombe, Mbeya via Nangurukuru
Ok.basi aende hapo rahisi tuGereza la segerea