Napata wapi gari za Kisemvule?

Napata wapi gari za Kisemvule?

Pale Gerezani mwanzoni karibu na Kamata, ndio huwa zinapaki daladala nyingi zinazoenda nje ya mji uelekeo wa Kilwa road kuanzia Chamazi, Kisewe, Mbande, Vikindu na Kisemvule huko
 
Back
Top Bottom