Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 30,567 Reaction score 86,748 Mar 5, 2025 #21 Pale Gerezani mwanzoni karibu na Kamata, ndio huwa zinapaki daladala nyingi zinazoenda nje ya mji uelekeo wa Kilwa road kuanzia Chamazi, Kisewe, Mbande, Vikindu na Kisemvule huko
Pale Gerezani mwanzoni karibu na Kamata, ndio huwa zinapaki daladala nyingi zinazoenda nje ya mji uelekeo wa Kilwa road kuanzia Chamazi, Kisewe, Mbande, Vikindu na Kisemvule huko