Mambo, nashida na maziwa ya Simba anayenyonyesha nimeelezwa yanatibu kabisa vidonda vya tumbo. Nimeambiwa yanayofaa zaidi ni ya simba aliyezaa hivi karibuni. Wapi napata simba nimkamue mie.
Wasikutishe kaka..ni suala la kuteta na Kigwangala..akupe kibali...ingia mbugani..tafuta sindano za usingizi za wanyama..jikamulie utakavyo...japo najua umeileta kimasihara..