Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!!R.I.P Mbele yako nyuma yetu.
mikumi
Si kweli kama unatatizo la vidonda vya tumbo mimi pia nilikuwa na tatixo kama hilo nime tumia tu mbegu ya parachochi nikaisaga !!! Ikawa unga naweka kwenye kikombe cha asubuhi 1 jion kimoja kwa muda wa week mbili mpk sasa nipo vizuri kabisa jaribu !! Achana na habari za simba utakufa ...bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]simba anayenyonyesha ni mkali balaaMambo, nashida na maziwa ya Simba anayenyonyesha nimeelezwa yanatibu kabisa vidonda vya tumbo. Nimeambiwa yanayofaa zaidi ni ya simba aliyezaa hivi karibuni. Wapi napata simba nimkamue mie.
Kwa taarifa yako simba akisinzia ukimkamua maziwa hayatoki ...maaana sharti la mganga simba awe hajafanyiwa kitu ila umkamue tu huku unampa storyWasikutishe kaka..ni suala la kuteta na Kigwangala..akupe kibali...ingia mbugani..tafuta sindano za usingizi za wanyama..jikamulie utakavyo...japo najua umeileta kimasihara..
Oooh sawa..fani za watu mkuu...Kwa taarifa yako simba akisinzia ukimkamua maziwa hayatoki ...maaana sharti la mganga simba awe hajafanyiwa kitu ila umkamue tu huku unampa story
Mambo, nashida na maziwa ya Simba anayenyonyesha nimeelezwa yanatibu kabisa vidonda vya tumbo. Nimeambiwa yanayofaa zaidi ni ya simba aliyezaa hivi karibuni. Wapi napata simba nimkamue mie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Kwa hiyo manara ni simba jike anaenyonyesha?mcheki manara
Nenda kwa MOMambo, nashida na maziwa ya Simba anayenyonyesha nimeelezwa yanatibu kabisa vidonda vya tumbo. Nimeambiwa yanayofaa zaidi ni ya simba aliyezaa hivi karibuni. Wapi napata simba nimkamue mie.
Hayawezi kutoka ukimlaza au akiwa hajitambui. Hata ng'ombe ni hivyo. Ukitaka kuhakikisha mstue ng'ombe wakati anakamulia,hata kama anatoaga maziwa mengi. Yanakata hapo hapoWasikutishe kaka..ni suala la kuteta na Kigwangala..akupe kibali...ingia mbugani..tafuta sindano za usingizi za wanyama..jikamulie utakavyo...japo najua umeileta kimasihara..
Swala anauza maziwa ya simba? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...au ndio unamsakizia kwa simba moja kwa moja?Panda bus la Mbeya kisha omba msaada wakushushe kwenye tuta Mikumi
Vuka barabara nenda hatua kama 50 hivi utakuta swala anauza maziwa ya Simba.