Napata wapi maziwa ya Simba anayenyonyesha?

Napata wapi maziwa ya Simba anayenyonyesha?

Ukifanikiwa kupata hayo maziwa naomba uliletee unyoya wa simba dume akiwa hai. (kutoka kwenye sharafu zake karibu na mdomo)
 
Mambo, nashida na maziwa ya Simba anayenyonyesha nimeelezwa yanatibu kabisa vidonda vya tumbo. Nimeambiwa yanayofaa zaidi ni ya simba aliyezaa hivi karibuni. Wapi napata simba nimkamue mie.
Si kweli kama unatatizo la vidonda vya tumbo mimi pia nilikuwa na tatixo kama hilo nime tumia tu mbegu ya parachochi nikaisaga !!! Ikawa unga naweka kwenye kikombe cha asubuhi 1 jion kimoja kwa muda wa week mbili mpk sasa nipo vizuri kabisa jaribu !! Achana na habari za simba utakufa ...bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]simba anayenyonyesha ni mkali balaa
 
Wasikutishe kaka..ni suala la kuteta na Kigwangala..akupe kibali...ingia mbugani..tafuta sindano za usingizi za wanyama..jikamulie utakavyo...japo najua umeileta kimasihara..
Kwa taarifa yako simba akisinzia ukimkamua maziwa hayatoki ...maaana sharti la mganga simba awe hajafanyiwa kitu ila umkamue tu huku unampa story
 
Hiyo mganga anataka ukajinyee porini bure.
Mambo, nashida na maziwa ya Simba anayenyonyesha nimeelezwa yanatibu kabisa vidonda vya tumbo. Nimeambiwa yanayofaa zaidi ni ya simba aliyezaa hivi karibuni. Wapi napata simba nimkamue mie.
 
Mambo, nashida na maziwa ya Simba anayenyonyesha nimeelezwa yanatibu kabisa vidonda vya tumbo. Nimeambiwa yanayofaa zaidi ni ya simba aliyezaa hivi karibuni. Wapi napata simba nimkamue mie.
Nenda kwa MO
 
Wasikutishe kaka..ni suala la kuteta na Kigwangala..akupe kibali...ingia mbugani..tafuta sindano za usingizi za wanyama..jikamulie utakavyo...japo najua umeileta kimasihara..
Hayawezi kutoka ukimlaza au akiwa hajitambui. Hata ng'ombe ni hivyo. Ukitaka kuhakikisha mstue ng'ombe wakati anakamulia,hata kama anatoaga maziwa mengi. Yanakata hapo hapo
 
labda uwakamue "zimba" na si simba vinginevyo ukamue kwa macho through Safari channel
 
Back
Top Bottom