Mhhhhhh hiyo id yako imenishamcheki manara
Hivi huwa pia yapo maziwa ya Simba asiyenyonyesha?Mambo, nashida na maziwa ya Simba anayenyonyesha nimeelezwa yanatibu kabisa vidonda vya tumbo. Nimeambiwa yanayofaa zaidi ni ya simba aliyezaa hivi karibuni. Wapi napata simba nimkamue mie.
Hivi huwa pia yapo maziwa ya Simba asiyenyonyesha?
Kivumishi,
R.I.P Mbele yako nyuma yetu.
Hapo kwenye red hilo jina ni la mtu? Ndani ya hilo jina kuna matusi mawili 1. Kanye, 2. Nyege.
Ufanyiwe tu upasuaji kuondoa tumbo.Mambo, nashida na maziwa ya Simba anayenyonyesha nimeelezwa yanatibu kabisa vidonda vya tumbo. Nimeambiwa yanayofaa zaidi ni ya simba aliyezaa hivi karibuni. Wapi napata simba nimkamue mie.
Au nikusema anataniaaaYaani kabisa unawaza kumkamua simba maziwa[emoji3][emoji3][emoji3]
Noma sana!Muda mwengine kwa makusudi mganga anaamua akupumzishe na matatizo yanayokuandama duniani. R. I. P