Napata wapi tena salary slips baada ya kugoma kupatikana mtandaoni?

Hayo siyo maisha ya kujivunia. Jitafakari. Nimesikitika umeandika kwa ujasiri na bashasha kabisa as if ndiyo maisha ya jamii pana. Take as individual life and rectify.
 
Hayo siyo maisha ya kujivunia. Jitafakari. Nimesikitika umeandika kwa ujasiri na bashasha kabisa as if ndiyo maisha ya jamii pana. Take as individual life and rectify.
sawa kiongozi, nitajirekebisha kama hili ni sehemu ya kosa!
 
sawa kiongozi, nitajirekebisha kama hili ni sehemu ya kosa!
Na taarifa kama hii si ya kuleta JF, kuna watu humu hawanaga habari na salary slip na wanaendesha maisha yao. Kuleta taarifa kama hii ni kujichoresha, just check with your HR or whoever close kutatua changamoto hiyo.
 
yeah, inaweza kuwa kujichoresha wakati mwingine lkn kwa uzoefu wangu wa kuwa humu unaonyesha kuwa unapata majibu ya haraka na ya kina humu kuliko hata huko ulikonishauri niende. hata hao ambao hawategemei mishahara, unakuta wana ujuzi wa kina tu katika masuala mbalimbali ya kiutumishi (wengine walikuwa watumishi wakaacha)

tunakimbilia humu kupata majibu ya kina kiongozi,.......dhihaka za baadhi ya wadau hazikosekani lkn si kitu mbele ya michango ya maana ya wenye akili zao. km ni kosa la kisheria hapo sawa, lkn km ni kejeli tu za watu, ah acha tuendelee kuelimika humu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…