Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa ushauri mkuuVizuri ni ghali.
Chukua tiles hizo toka wilaya ya Mkuranga nadhani ndio bei nafuu.
Poa mkuu.Tiles nzur inategema unataka size gani..
Me nauza tiles..
Unataka size gani mkuu?
Au kwa mawasaliano nichek..0623152344
Tiles sijazipenda ila nimependa kazi ya aliyezibanfika kwa sababu hakuacha nafasi kubwa katikati baina ya tile na tile... Safi#kelv
NAMNA YA KUWEKA/KUPIGA TILES BORA
Cha kwanza kabisa Ukubali gharama!
Cha pili uwe na eneo la kupiga hizo Tiles
Cha Tatu uwe na hizo Tiles
Cha Nne uwe na mchanga na Cement
Baada ya kukamilisha hayo tunaanza ujenzi wetu wa Tiles....
Tukianza na Gharama hapa inategemea unataka aina gani ya tiles,
Mara nyingi kama ni Nje basi tunashauri kutumia ceramic tiles,....hizi Ni nzuri kwa nje na Imara kwa sababu hazipauki kwa Jua wala mvua....
Kama ni ndani unapaswa kutumia granite na nyinginezo,...
Na tiles hutofautiana size kuna 30×30..., 40x40,.....50x50,.....60×60,..... 40×50, n.k
Mara nyingi Tiles za ndani chini (Floo tiles hushauriwa size ya tiles iwe na uwiano sawa yaan size yake either iwe 40 x40 au 60 x60 hata 50×50, pia hutegemea wewe muhusika unatakaje.
Hizi ni size za Tiles na Bei zake kwa Dsm
FLOOR TILES
¬ 30X30 =17PCS = 1.7SQM = TSHS 16,500
¬ 40X40 =12PCS = 1. 92SQM = TSHS 18,500
¬ 50X50 =7PCS = 1.7SQM = TSHS 28,500
¬ 60X60 =4PCS = 1.44SQM = TSHS 29,500
¬ 80X80 =2PCS = 1.4SQM = TSHS. 33,000
2.WALL TILES
¬ 25X30 = 16PCS = 1 SQM = TSHS. 10,500
¬ 25X40 = 15PCS = 1.53 SQM = TSHS. 16,500
¬ 25X60 = 8PCS = 1.6 SQM = TSHS 26,500
¬ 12X60 = 25PCS = 1.44 SQM = TSHS 29,500
Bei hutofautiana na wapi inatoka kuna Spanish tiles, UEA tiles na zile hapa kwetu Tz ambazo nyingi zinatoka Andika.
Kwa mahitaki Ya Fundi mtaalamu wa Tiles nicheki kwa namba Hizi
0789005562
Au
0719205562
Gusa link kuja wasap [emoji116][emoji116][emoji116]
Wa.me/255789005562
Hapo ongeza na grout kama unataka nyumba iwe nzuri, weka na spacing tiles , bei ya fundi ni maelewano ila mara nyingi SQm1 huwa ni Elfu 5 mpaka Elfu 7
By
Kelvin HkView attachment 2591748View attachment 2591746View attachment 2591747View attachment 2591749
Hizi ni Bei ya Dar mkuu au ?#kelv

duh, mda wote najua hii ni ThailandAndika
Tiles 40by40 kwa 18k ni za kampuni gani hizo? Mbona bei imepoa sana?#kelv

Kwani bei inaanziaga shingapi kwa Dar?Tiles 40by40 kwa 18k ni za kampuni gani hizo? Mbona bei imepoa sana?
Yes...hizi bei ni Dsm Morogoro Tanga na pwani Yote zinafananaHizi ni Bei ya Dar mkuu au ?
Karibu sanaTiles sijazipenda ila nimependa kazi ya aliyezibanfika kwa sababu hakuacha nafasi kubwa katikati baina ya tile na tile... Safi
Tsh 18500 ni Goodwill na GoodOne....na zinapatikanaTiles 40by40 kwa 18k ni za kampuni gani hizo? Mbona bei imepoa sana?
Madukani wanaanzia elfu 22...but chimbo huku tunapata kwa Tsh 18500Kwani bei inaanziaga shingapi kwa Dar?
hizo ni zile poa poa?Madukani wanaanzia elfu 22...but chimbo huku tunapata kwa Tsh 18500
60*60 grade one ya goodwill bei yake ngapi kwa box?Madukani wanaanzia elfu 22...but chimbo huku tunapata kwa Tsh 18500
Detailed analysis, safi sana mkuu#kelv