dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Nilikuwa na wasiwasi na za Mkuranga, mwaka unakatika sasa bado zime maintain hali yake ya ung'aavu vilevile( za floor ), 24k kwa 40cmx40cm boxkupata tiles nzuri kwa bei nafuu
natundika zingine nje ukutani