Apollo one spaceship JF-Expert Member Joined Jan 28, 2021 Posts 245 Reaction score 457 Jul 17, 2023 #1 Napataje Konyagi kutoka kiwandani? Nipo DSM, mwenye namba za hawa jamaa. Sitaki agent
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,202 Reaction score 4,653 Jul 17, 2023 #2 Unachukua pic ngapi kwanza isije ikawa unasumbua tu apa?
Apollo one spaceship JF-Expert Member Joined Jan 28, 2021 Posts 245 Reaction score 457 Jul 17, 2023 Thread starter #3 Central systemer said: Unachukua pic ngapi kwanza isije ikawa unasumbua tu apa? Click to expand... Kweny 50 mpk 70.
Central systemer said: Unachukua pic ngapi kwanza isije ikawa unasumbua tu apa? Click to expand... Kweny 50 mpk 70.
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,202 Reaction score 4,653 Jul 17, 2023 #4 Apollo one spaceship said: Kweny 50 mpk 70. Click to expand... Nenda tu kwenye maduka ya jumla kiwandani huwa wauziwa mawakala tu ambapo hutakiwa kuanzia carton 1000 Endelea kijipanga kwanza
Apollo one spaceship said: Kweny 50 mpk 70. Click to expand... Nenda tu kwenye maduka ya jumla kiwandani huwa wauziwa mawakala tu ambapo hutakiwa kuanzia carton 1000 Endelea kijipanga kwanza
Apollo one spaceship JF-Expert Member Joined Jan 28, 2021 Posts 245 Reaction score 457 Jul 17, 2023 Thread starter #5 Central systemer said: Nenda tu kwenye maduka ya jumla kiwandani huwa wauziwa mawakala tu ambapo hutakiwa kuanzia carton 1000 Endelea kijipanga kwanza Click to expand... Asante sana mkuu itabidi nimuone wakala tu
Central systemer said: Nenda tu kwenye maduka ya jumla kiwandani huwa wauziwa mawakala tu ambapo hutakiwa kuanzia carton 1000 Endelea kijipanga kwanza Click to expand... Asante sana mkuu itabidi nimuone wakala tu
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 6,585 Reaction score 10,363 Jul 17, 2023 #6 Nenda keko ...ulizia Mbozi road ...nenda n hiyo barabara ya Mbozi road mpaka mbele mbel kidogo ndipo walipo konyagi
Nenda keko ...ulizia Mbozi road ...nenda n hiyo barabara ya Mbozi road mpaka mbele mbel kidogo ndipo walipo konyagi
Morgan Fisherman JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 1,819 Reaction score 2,134 Jul 17, 2023 #7 Apollo one spaceship said: Asante sana mkuu itabidi nimuone wakala tu Click to expand... we nenda tu kiwandani kajieleze
Apollo one spaceship said: Asante sana mkuu itabidi nimuone wakala tu Click to expand... we nenda tu kiwandani kajieleze