Napataje kuongea na vodacom customer care

cacutee

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
1,333
Reaction score
3,512
Habari zenu?
Naomba kujua ni namba gani ni naweza kupiga ili niongee na customer care wa Vodacom.
Namba hii +255754700000 na namba 100 hazileti option ya kuongea na mhudumu asubuhi hii.

Mwisho Vodacom mpunguze wizi. Leo mmeniibia Sana bando zaidi ya Mara tatu.
Sio poa
 
Sijui ni kipengele gani ila ni pale pa kuibiwa simu ndipo unampata mhudumu
 
Fuata huo mtiriko.ukipiga 100.
Utabonyeza 0,alafu 6 alafu 2 alafu 0
 
Attachments

  • Screenshot_20240707-182445.png
    Screenshot_20240707-182445.png
    67.8 KB · Views: 15
Habari zenu?
Naomba kujua ni namba gani ni naweza kupiga ili niongee na customer care wa Vodacom.
Namba hii +255754700000 na namba 100 hazileti option ya kuongea na mhudumu asubuhi hii.

Mwisho Vodacom mpunguze wizi. Leo mmeniibia Sana bando zaidi ya Mara tatu.
Sio poa
Hata mimi wamekurudishia eti
 
Piga 100.
Alafu fuata maelezo kwa kufuata hizo namba.
Si wanakwambia kwa kitu Fulani.bonyeza namba Fulani?Sasa fuata nilivyokuandikia 0620
Hyo 100 naijua
Nimesha edit baada ya kukuelewa
Usichoelewa ni kwamba mfumo wao wa mawasiliano ya huduma kwa wateja umevurugika.
Kuna mdau mmoja tu hapo juu ndo amenielewa na ameweza kutatua tatizo
 
Sijui nihamie halotel sasa maana Airtel na tigo majanga kwenye internet
 
Hii mitandao ya simu ilishatuona watanzania wajinga.kuongea nao hawakupi njia ya kuwapata zaidi utazungushwa piga ngapi hata mara ishirini lakini hamna kitu.wizara inayosimamia hii sekta ya mawasiliano wamelala fofofo au hawajui majukumu yao.Ttcl ndiyo wako vizuri Kwa huduma Kwa mteja yaani ukipiga ndani ya dakika Moja unaongea nao.
 
Pakusemea hatuna yani wa Tanzania tunaishi kama yatima
 
Hii mitandao ya simu ilishatuona watanzania wajinga.kuongea nao hawakupi njia ya kuwapata zaidi utazungushwa piga ngapi hata mara ishirini lakini hamna kitu.wizara inayosimamia hii sekta ya mawasiliano wamelala fofofo au hawajui majukumu yao.Ttcl ndiyo wako vizuri Kwa huduma Kwa mteja yaani ukipiga ndani ya dakika Moja unaongea nao.
Kila sehemu kuna changamoto, TTCL inafaa walioko mjini vijijini huwezi kupata hata vocha ni upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom