Napataje kuongea na vodacom customer care

Napataje kuongea na vodacom customer care

Hii mitandao ya simu ilishatuona watanzania wajinga.kuongea nao hawakupi njia ya kuwapata zaidi utazungushwa piga ngapi hata mara ishirini lakini hamna kitu.wizara inayosimamia hii sekta ya mawasiliano wamelala fofofo au hawajui majukumu yao.Ttcl ndiyo wako vizuri Kwa huduma Kwa mteja yaani ukipiga ndani ya dakika Moja unaongea nao.
Inakera sana.ila ndo hivyo nchi inajiendea tu ndo maana na makampuni nayo yanajifanyia tu vile wanataka.
 
Back
Top Bottom