Hata mimi wamekurudishia etiHabari zenu?
Naomba kujua ni namba gani ni naweza kupiga ili niongee na customer care wa Vodacom.
Namba hii +255754700000 na namba 100 hazileti option ya kuongea na mhudumu asubuhi hii.
Mwisho Vodacom mpunguze wizi. Leo mmeniibia Sana bando zaidi ya Mara tatu.
Sio poa
Piga 100.0620 ndo namba mpya ya customer care?
Hyo 100 naijuaPiga 100.
Alafu fuata maelezo kwa kufuata hizo namba.
Si wanakwambia kwa kitu Fulani.bonyeza namba Fulani?Sasa fuata nilivyokuandikia 0620
Kweli etiSijarudishiwa dear
Mhudumu wao ndo hana analolijua eti Leo nimeingia YouTube wakati hata sijaingia huko
Pakusemea hatuna yani wa Tanzania tunaishi kama yatimaHii mitandao ya simu ilishatuona watanzania wajinga.kuongea nao hawakupi njia ya kuwapata zaidi utazungushwa piga ngapi hata mara ishirini lakini hamna kitu.wizara inayosimamia hii sekta ya mawasiliano wamelala fofofo au hawajui majukumu yao.Ttcl ndiyo wako vizuri Kwa huduma Kwa mteja yaani ukipiga ndani ya dakika Moja unaongea nao.
Sawa bossUkiwakosa kwenye simu waandikie eMail customercare@vodacom.co.tz wanajibu fasta
Kila sehemu kuna changamoto, TTCL inafaa walioko mjini vijijini huwezi kupata hata vocha ni upuuzi mtupuHii mitandao ya simu ilishatuona watanzania wajinga.kuongea nao hawakupi njia ya kuwapata zaidi utazungushwa piga ngapi hata mara ishirini lakini hamna kitu.wizara inayosimamia hii sekta ya mawasiliano wamelala fofofo au hawajui majukumu yao.Ttcl ndiyo wako vizuri Kwa huduma Kwa mteja yaani ukipiga ndani ya dakika Moja unaongea nao.