Hii mitandao ya simu ilishatuona watanzania wajinga.kuongea nao hawakupi njia ya kuwapata zaidi utazungushwa piga ngapi hata mara ishirini lakini hamna kitu.wizara inayosimamia hii sekta ya mawasiliano wamelala fofofo au hawajui majukumu yao.Ttcl ndiyo wako vizuri Kwa huduma Kwa mteja yaani ukipiga ndani ya dakika Moja unaongea nao.