Napataje mawazo mazuri ya kuanzisha biashara? Kufikiria mwenyewe haitoshi kunipa wazo sahihi kwa asilimia 100.

Ni zipi sifa za mjasiriamali aliyefanikiwa?
Zingine🫴
Ziko nyingi lakini huko mtandao wamezi 'condensed'.
1. Persuasion and networking ,(namna ya kuongea na mteja hadi akakubali kununua huduma yako
2. Commitment to work contract and job well done, (mkataba na mteja ukimuahidi mtu saa 5, akute tayari kama ni bidhaa ama kazi ya ufundi iwe nzuri
3. Competing against your self, (ufanye vizuri kuliko jana)
4. Initiative, (kufanya jambo bila kusukumwa na mtu yeyote na likafanikiwa a.k.a kujiongeza
5. Confidence, (kujiamini)
6. opportunity seeker,(kuzitafuta, fuata fursa).
7.humble, (uwe tayari kukosolewa na kupata mrjesho kwa watrja kwa huduma zako

Ziko nyingi mimi 1986-1987 nilijifunza 25 zipo zilizo ongezeka kutokana mabadiliko ya dunia
 
Nasikia sikia watu wakisema biashara za mitandaoni Zina zinalipa sana siku hizi .
Wanaofanya biashara hizo wanadai wanakwenda sambamba na teknolojia..
Ila jamii inawaona kama matapeli watu hawa..
Je, Kweli Kuna biashara ya mtandaoni inayolipa?
🥱
 
Nashukuru Kwa hizi..
Unaweza ukanisaidia source ya material ya ujasiriamali, nahitaji nijifunze zaidi kuhusu engo hii .
 
Nashukuru Kwa hizi..
Unaweza ukanisaidia source ya material ya ujasiriamali, nahitaji nijifunze zaidi kuhusu engo hii .
Source ni mimi mwenyewe, mimi naandika kitabu cha ujasiriamali fikirishi ndiyo maana nabishana hapa kwa hoja navijua vitu vingi kuhusu, (entrepreneurship skills), naandika kwa kugha mbili kwa kimombo na kiswahili

Asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yana mtegemea mjasiriamali lakini aslimia 20 ni mjasiriamali na yanayo mzunguka na hii asilimia kwa jamii zetu za kiafrika ina nguvu hata pengine kuziua biashara

Kwanini aslimia 20 hivi sasa, (of recently), inasabisha biashara zinakufa hili linahitaji kuwapa elimu wahusika, (wenye mamlaka)

Mimi naweza kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa ngazi zote za uelewa
 
Entrepreneurial competencies are the skills, knowledge, and attributes that enable an individual to effectively identify and pursue business opportunities. Here are some key competencies:

1. Opportunity Recognition: The ability to identify and evaluate business opportunities in the market.

2. Risk Management: Understanding how to assess, mitigate, and take calculated risks to capitalize on opportunities.

3. Financial Literacy: Knowledge of financial principles, including budgeting, forecasting, and financial management, to make informed decisions.

4. Networking Skills: The ability to build and maintain relationships that can provide support, resources, and partnerships.

5. Decision-Making: Skills in making informed choices quickly, often under pressure, to drive the business forward.

6. Innovativeness: A creative mindset that encourages new ideas, products, and solutions.

7. Adaptability: The ability to adjust strategies and approaches in response to changing market conditions.

8. Leadership: Skills in motivating, guiding, and managing a team effectively to achieve business goals.

9. Negotiation Skills: The ability to reach mutually beneficial agreements with clients, suppliers, and partners.

10. Time Management: Efficiently managing time and priorities to enhance productivity and achieve objectives.

Developing these competencies can significantly enhance an entrepreneur's ability to succeed in a competitive environment.
 
Also you have to realize that there will be uncertainty all through in business catalyzed by disaster, information and people, (Normal and smart people), therefore there is a need of intelligent monitoring of current trends, hence, create strategies to overcome uncertainty in business and problems around, you, (us)

To run a competitive business you will need a good business plan and a culture of your business, to make a difference

Having said that, for you to succeed in business you will need a correlation, of PEC'S, Business plan and skill set

PEC'S- personal entrepreneurial competences
Skill set -an individual life learning skills
Business plan-management and marketing plan for a period of time
 
Afisa biashara anakuja kufunga biashara
 
Lakini, Kuna madarasa ya biashara.
Vipi hayasaidii🥱
Hayo ni sehemu ya elimu ya mtaa masta, ruka nayo. Huwezi kuifananisha na mambo ya kuchora mfumo wa upumuaji wa panzi..ama kukariri nchi inayoongoza uvuaji wa samaki duniani ni Norway..sijui mambo ya kusolve hesabu kwa kutumia four figure..mfumo wa elimu wa hovyo kabisa!
 
Kwa hiyo mtalaam, ukishamaliza kuuza zako accessories za simu, ukapata njaa ukataka kula ubwabwa, unau-download? Maana sidhani kama kila mtu ata afford kuwa IT guy
 
Nashukuru Kwa hizi..
Unaweza ukanisaidia source ya material ya ujasiriamali, nahitaji nijifunze zaidi kuhusu engo hii .
Jambo lingine mkuu, jitahidi uweke nguvu kwenye ku-act badala ya kujifunza. Kujifunza ni vizuri, ila kujifunza sana you may end up being like many of our professors, elimu mlima mafanikio kichuguu, the reason why, they don't act on what they already know. You may succeed in anything provided you have 70% info about it, forget 100%, it's irrelevant. Waliofanikiwa ni watendaji, not thinkers, achia thinking na kujifunza sana to academicians.
 
I understand you..
But
Learning never end over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…