mr.chengachenga
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 155
- 104
Hii business sijawai ifanya na nina mpango wa kuifanya pia.
Kama ni ana 1.5M basi apige hesabu zake atumie 1M pekeyake.Hiyo 500k itamsaidia pale biashara itakapokua inakutana na dhoruba
Kama anamsingi wa watu,basi afate gunia aziweke ndani auzie kutokea ndani kupitia vikundi vya akina mama kama vikoba,watu wa kupika mabufee na kama ni uswazi kuna baadhi ya wamama ukiwapa ganji watakuletea wateja mpaka nyumbani kabisa.
Ganji uwaambie kwa siri halaf waache uone shoo yao,unajua uswazi mara nyingi unakuta kuna mmama huyo anaongea vizuri na mtaa wote na ananguvu ya ushawishi.Ukimtumia vizuri kuna namna utapata ukipiga kama round mbili hiv,biashara yenyewe itakwambia nini ufanye kama ni kufungua frem au vipi
Usitafute faida kubwa,weka hata bei ya chini itakayoweza kukurudishia mtaji wako na faida kuduchu sana ya kulinsa value for money maana ni unaanza biashara so upo kwenye kipindi cha kujitangaza
Hakikisha kila unachokifanya unaandika kwenye daftari,mauzo na matimizi.Daftari ndio litakwambia kuwa biashara ikiendelea utapata faida au unahitajika kufanya marekebisho ya falsafa yako kabla ya biashara kukufia.
Nb:Haitakua rahisi kama nilivyoandika hapo juu lakini penye nia pana njia.Hata mimi naitaman hii biashara ila sijaianza maana saaa hiv kuna biashara nyingine nafanya na ninaisukuma ikue kwanza