Napataje mechi yote ya marudio na mahala pakutoa malalamiko ya betting?

Wady silver

Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
22
Reaction score
16
Jamani kama nilivoeleza Pao juu nilibetia shoot on tergert za CRYSTAL PALACE vs BANLEY sasa Kuna sehemu nyingine wameonesha 6.0 na nyingine 6.1 sasa nilivo watafuta wamesema nitafutee full match tuhesabu shoot on tergert naipataje full mechii msaada jamani na pili kama hatuaelewana kampuni niliyo betiaa naitaji kujua balaza la malalamiko ya betting linaitwaje msaada wenu tafadhali
 
Mechi zinarudiwa DStv kupitia super sport kama una access ya ku record fanya hivyo
 
Jamani kama nilivoeleza Pao juu nilibetia shoot on tergert za CRYSTAL PALACE vs BANLEY sasa Kuna sehemu nyingine wameonesha 6.0 na nyingine 6.1 sasa nilivo watafuta wamesema nitafutee full match tuhesabu shoot on tergert naipataje full mechii msaada jamani na pili kama hatuaelewana kampuni niliyo betiaa naitaji kujua balaza la malalamiko ya betting linaitwaje msaada wenu tafadhali
Hebu dadavua vizuri ueleweke
 
Ngoja nikusaidie, je wewe ulibeti vipi? check hapo chini stats za vyombo mbalimbali
Sofa score 6:0
Live score 6:1
Fotmob 6:0
Sky sport 6:0
Espn 6:0
BBC sport 6:0

Ni wazi walioandika 6:1 ndio walioandika kimakosa lakini vyombo vyote vimeanisha ni 6:0 na ndio inaonekana ndio lililo sahihi
 
Mbona livescore unaona kila kitu?
Live score Kule wanasema 6.0 lakini Kuna score nyingine zina 6.1
Ngoja nikusaidie, je wewe ulibeti vipi? check hapo chini stats za vyombo mbalimbali
Sofa score 6:0
Live score 6:1
Fotmob 6:0
Sky sport 6:0
Espn 6:0
BBC sport 6:0

Ni wazi walioandika 6:1 ndio walioandika kimakosa lakini vyombo vyote vimeanisha ni 6:0 na ndio inaonekana ndio lililo sahihi
Mimi nilibetia 6:1 kaka na pia Ile shoot on target niniiiona na alikua wa kwanza kupata burnley na pia jua kua Kuna score kubwa ambayo score ndogo zinategemea kwahiyo iyo kubwa ikikosea zinakosea zote na ndo maana nikaambia nitafute full match tuzihesabu na pia Mimi ninazo score 3 tofauti na ulizoandika apoo zina 6:1
Mfano: bologina vs hellona majuzi walitoka 4:4 shoot on tergert lakini kwenya hizo score waliandika 3:3 na niliangalia mechi full time na beti pawa walimaliza kwa on tergert 4:4 na Kuna score zimeandika 4:4 umeona apo kaka shida mhimu nikipata iyo mechi broo
 
Yani kaka kunamkeka nilibeti nilibeti niliweka shoot on tergert 6.5 na wakatoka 6:1 lakini kwenye mkeka wakanikosesha kwa kuweka 6.0 sasa nilivo wasiliana nao wanasema nipate full match ili tuzihesabu on terget
Hizo shot on Target uliweka OVER au UNDER?
 
Screenshot_20240225-095609.jpg
 
Screenshot_20240226-111146.png
 
Attachments

  • Screenshot_20240226-111129.png
    Screenshot_20240226-111129.png
    53.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom