Napataje mechi yote ya marudio na mahala pakutoa malalamiko ya betting?

Napataje mechi yote ya marudio na mahala pakutoa malalamiko ya betting?

Jamani kama nilivoeleza Pao juu nilibetia shoot on tergert za CRYSTAL PALACE vs BANLEY sasa Kuna sehemu nyingine wameonesha 6.0 na nyingine 6.1 sasa nilivo watafuta wamesema nitafutee full match tuhesabu shoot on tergert naipataje full mechii msaada jamani na pili kama hatuaelewana kampuni niliyo betiaa naitaji kujua balaza la malalamiko ya betting linaitwaje msaada wenu tafadhali
Wewe acha kubeti njoo kijijini tulime
 
Niliweka dakika zote 90 sasa niliwasiliana na huduma kwawateja ndio wwakanambia nitafute mechi yote tuzihesabuu
Screenshot_20240226_121834_Google.jpg

TAKWIMU HIZI HAPA,WAAMBIE WAKUPE PESA YAKO WASIKUDHRUMU
 
Screenshot_20240226_121834_Google.jpg

Kama uliweka Shot on Target Over 6:5 basi utakuwa umeliwa ila kama uliweka Under 6:5 basi utakuwa umekula!
 
Back
Top Bottom