Wady silver
Member
- Jan 8, 2021
- 22
- 16
Mechi zinarudiwa DStv kupitia super sport kama una access ya ku record fanya hivyoJamani kama nilivoeleza Pao juu nilibetia shoot on tergert za CRYSTAL PALACE vs BANLEY sasa Kuna sehemu nyingine wameonesha 6.0 na nyingine 6.1 sasa nilivo watafuta wamesema nitafutee full match tuhesabu shoot on tergert naipataje full mechii msaada jamani na pili kama hatuaelewana kampuni niliyo betiaa naitaji kujua balaza la malalamiko ya betting linaitwaje msaada wenu tafadhali
Ahaaa Asante kaka lakini mechi imecheza toka juzi inaweza ikarudiwa Leo kweli au nimeshaichelewa ilikua Jana??Mechi zinarudiwa DStv kupitia super sport kama una access ya ku record fanya hivyo
Kaka usiseme niachane nao Mimi naombaa unisaidiee nilivyo ombaaa Mimi iyo mechi nimeangalia na alienkua wa kwanza kupata on tergert ni burnlyachana nao umeliwa anayesupply match data hakosei hata point
Hebu dadavua vizuri uelewekeJamani kama nilivoeleza Pao juu nilibetia shoot on tergert za CRYSTAL PALACE vs BANLEY sasa Kuna sehemu nyingine wameonesha 6.0 na nyingine 6.1 sasa nilivo watafuta wamesema nitafutee full match tuhesabu shoot on tergert naipataje full mechii msaada jamani na pili kama hatuaelewana kampuni niliyo betiaa naitaji kujua balaza la malalamiko ya betting linaitwaje msaada wenu tafadhali
Ngoja nikusaidie, je wewe ulibeti vipi? check hapo chini stats za vyombo mbalimbaliJamani kama nilivoeleza Pao juu nilibetia shoot on tergert za CRYSTAL PALACE vs BANLEY sasa Kuna sehemu nyingine wameonesha 6.0 na nyingine 6.1 sasa nilivo watafuta wamesema nitafutee full match tuhesabu shoot on tergert naipataje full mechii msaada jamani na pili kama hatuaelewana kampuni niliyo betiaa naitaji kujua balaza la malalamiko ya betting linaitwaje msaada wenu tafadhali
Live score Kule wanasema 6.0 lakini Kuna score nyingine zina 6.1Mbona livescore unaona kila kitu?
Live score Kule wanasema 6.0 lakini Kuna score nyingine zina 6.1Mbona livescore unaona kila kitu?
Mimi nilibetia 6:1 kaka na pia Ile shoot on target niniiiona na alikua wa kwanza kupata burnley na pia jua kua Kuna score kubwa ambayo score ndogo zinategemea kwahiyo iyo kubwa ikikosea zinakosea zote na ndo maana nikaambia nitafute full match tuzihesabu na pia Mimi ninazo score 3 tofauti na ulizoandika apoo zina 6:1Ngoja nikusaidie, je wewe ulibeti vipi? check hapo chini stats za vyombo mbalimbali
Sofa score 6:0
Live score 6:1
Fotmob 6:0
Sky sport 6:0
Espn 6:0
BBC sport 6:0
Ni wazi walioandika 6:1 ndio walioandika kimakosa lakini vyombo vyote vimeanisha ni 6:0 na ndio inaonekana ndio lililo sahihi
Yani kaka kunamkeka nilibeti nilibeti niliweka shoot on tergert 6.5 na wakatoka 6:1 lakini kwenye mkeka wakanikosesha kwa kuweka 6.0 sasa nilivo wasiliana nao wanasema nipate full match ili tuzihesabu on tergetHebu dadavua vizuri ueleweke
Hizo shot on Target uliweka OVER au UNDER?Yani kaka kunamkeka nilibeti nilibeti niliweka shoot on tergert 6.5 na wakatoka 6:1 lakini kwenye mkeka wakanikosesha kwa kuweka 6.0 sasa nilivo wasiliana nao wanasema nipate full match ili tuzihesabu on terget
Live score Kule wanasema 6.0 lakini Kuna score nyingine zina 6.1
Ngoja nikupe nyingine uangalieNi score moja tu ndio niliyoiona yenye 6:1 ila zote zilizobakia wameweka 6:0