Napataje PEP nijinusuru

Yule demu hana ngoma wamekudanganya umeingia mkenge unataka ukameze PEP......haya wahi kituo Cha afya kilichokaribu wakikupatia dawa zingatia muda wa kumeza na lishe
 
Usiogope ili upate maambiki lazima wanasema uwe ume ingiza kiwango angalau 2 micromyu ya infected blood kwenye blood stream yako sasa kwenye wembe sdhani Kwa muda iliyokaa chini isiwe imekauka kabisa na virus kufa
Anadanganya huyu sio wewe atakua kala mtu alieng'atwa na mbuzi anaogopa kusema
 
Nashukuru Mungu Nimepata PEP Ingawa Maswali Yalikuwa Mengi
 
Yule demu hana ngoma wamekudanganya umeingia mkenge unataka ukameze PEP......haya wahi kituo Cha afya kilichokaribu wakikupatia dawa zingatia muda wa kumeza na lishe
Shukran Mkuu Nitazingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…