Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh mkuu fanya nipate basi....Kuna mzigo mwingine unakuja mwezi 1/2
duuuhVaa kofia yenye nembo SSH halafu uwe unapita nayo mtaani
Anazo Tatu na Gari la Chama lina lala kwake.
ccmu wanatoa wap pesa zote hizo kipind hiki cha kampen , hili lilikuwa la kuchunguzwa na bunge ila nchi ipo kweny Anguko la kiutawala wahuni ndo wameshika kila idaraWamepewa Makatibu Kata, Makatibu wa UWT, WAZAZI, UVCCM Kata zote nchi nzima.
Kimasihara masihara unaweza shangaa lucas kumbe ndio mwiguluAnazo Tatu na Gari la Chama lina lala kwake.
Inawezekana maana akili zao kama zinafanana hivi?😂😂Kimasihara masihara unaweza shangaa lucas kumbe ndio mwigulu
Nikama Trab and TratKimasihara masihara unaweza shangaa lucas kumbe ndio mwigulu
Nimeambiwa nikuone wwe mkuu vipi mkuu sipati pikipiki, mama samia mi5 tena.
nipe maelekezoUtapata Zipo Nyingi
Wawekezaji nao wanaunga juhudi: China, UAE na wengineo.ccmu wanatoa wap pesa zote hizo kipind hiki cha kampen , hili lilikuwa la kuchunguzwa na bunge ila nchi ipo kweny Anguko la kiutawala wahuni ndo wameshika kila idara
🤣🤣🤣🤣🤣Nikama Trab and Trat