Napatikana ukanda ambao Mbaazi, Ufuta na Korosho vinapatikana kwa wingi sana. Naombeni connection

FALSETTO

Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
42
Reaction score
6
Napatikana ukanda ambao Mbaazi, Ufuta na Korosho vinapatikana kwa wingi sana.

Kwa mwenye connection na Mtu au Kampuni yoyote inayojishughukisha na ununuzi wa mazao tajwa; Nipo tayari kufanya nao kazi kwa Nidhamu, Uaminifu na Ufanisi wa juu sana. ( Msimu wa mazao hayo ni kuanzia mwezi huu wa Mei mpaka Desemba).

Kwa mawasiliano naomba tuyafanye inbox.

Shukrani Sana
 
Una documents gani kama NIDA,leseni ya udereva,cheti cha ndoa nk?

Elimu yako,uzoefu wako funguka mdogo wangu kupata connections sio kitu rahisi kama kuj@mb@
 
Siku hizi Serikali ina emphasise mambo ya stakadhi ghalani, kwahiyo Wanunuzi wote wanakuja eneo ambalo Serikali imetenga kwaajili ya kushindanisha Wanunuzi, then wale wenye bei kubwa wananunua mazao yenu.

Unaweza kusubiri njia hii au uendelee na njia ya kutafuta mnunuzi wewe mwenyewe, ingawa probability ya kushindwa ni kubwa as Serikali ndiyo ina huo muongozo kuhusu mazao hayo ya biashara.

Anyways, Kujibu swali lako Wanunuzi wa mazao hayo walikuwa ni;

Miaka ya nyuma Kampuni ya Alpha Logistics ilikuwa ikinunua mazao hayo kisha kuyasindika na kuuza Nje ya Nchi., Kampuni ipo Jeti Lumo.

Kampuni nyingine ilikuwa ni ya Manji, sijui kama anaendelea na biashara hiyo baada ya purukushani na Serikali iliyopita.

Kampuni nyingine ni ya Mohamed Enterprises hao nahisi bado wananunua.
 
Napatikana ukanda ambao Mbaazi, Ufuta na Korosho vinapatikana kwa wingi sana...
Mbaazi wanunuzi wengi ni wachuzi , wadosi huwa wanasubiri mizigo mastore or Godwin zao, huwa wanawapa tender Madalali na Madalali husubiri wateja wapeleke wenyewe Dar es salaam
 
Siku hizi Serikali ina emphasise mambo ya stakadhi ghalani, kwahiyo Wanunuzi wote wanakuja eneo ambalo Serikali imetenga kwaajili ya kushindanisha Wanunuzi, then wale wenye bei kubwa wananunua mazao yenu.

Unaweza kusubiri njia hii au uendelee na njia ya kutafuta mnunuzi wewe mwenyewe, ingawa probability ya kushindwa ni kubwa as Serikali ndiyo ina huo muongozo kuhusu mazao hayo ya biashara.

Anyways, Kujibu swali lako Wanunuzi wa mazao hayo walikuwa ni;

Miaka ya nyuma Kampuni ya Alpha Logistics ilikuwa ikinunua mazao hayo kisha kuyasindika na kuuza Nje ya Nchi., Kampuni ipo Jeti Lumo.

Kampuni nyingine ilikuwa ni ya Manji, sijui kama anaendelea na biashara hiyo baada ya purukushani na Serikali iliyopita.

Kampuni nyingine ni ya Mohamed Enterprises hao nahisi bado wananunua.
Kwa Mbaazi hakuna shida nikulipa ushuru wa halmashauri inaenda popote pale. Ufuta nikununua na kuuza magulioni faida ya sh 300 mpaka 1000 si haba ukiwa ma mzigo mkubwa na korosho ni sawa na ufuta kwa profit yake
 
Kijn unahitaji kaz lakn hutak kutaja upo wap,

Watu wa kusin ujuaji mwing
Anyway kila la Heri
 
Kwa Mbaazi hakuna shida nikulipa ushuru wa halmashauri inaenda popote pale. Ufuta nikununua na kuuza magulioni faida ya sh 300 mpaka 1000 si haba ukiwa ma mzigo mkubwa na korosho ni sawa na ufuta kwa profit yake
Kuna mahali nilihudhuria mnada wa ufuta, inaonekana mwaka huu Wakulima watapata faida kubwa kidogo ukilinganisha na Mwaka Jana.

Korosho mwenyewe nalima hadi saivi, nikiongeza na za kununua kwa wakulima wenzangu nikija kuuza napata faida fedha nzuri tu
 
Suala la kuamini mtu kwenye pesa ni gumu sana tena mno, jitahidi tu utafute mtaji wako.
Napatikana ukanda ambao Mbaazi, Ufuta na Korosho vinapatikana kwa wingi sana.

Kwa mwenye connection na Mtu au Kampuni yoyote inayojishughukisha na ununuzi wa mazao tajwa; Nipo tayari kufanya nao kazi kwa Nidhamu, Uaminifu na Ufanisi wa juu sana. ( Msimu wa mazao hayo ni kuanzia mwezi huu wa Mei mpaka Desemba).

Kwa mawasiliano naomba tuyafanye inbox.

Shukrani Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Mbaazi hakuna shida nikulipa ushuru wa halmashauri inaenda popote pale. Ufuta nikununua na kuuza magulioni faida ya sh 300 mpaka 1000 si haba ukiwa ma mzigo mkubwa na korosho ni sawa na ufuta kwa profit yake
Hiyo faida ya tsh. 300 mpaka tsh. 1,000 ni kwenye kilo moja ya ufuta??
 
Back
Top Bottom