Uzoefu ninao wakutosha nimeishi kwa kzi hiyo kwa muda mrefu sanaUpo
Tandahimb
Masasi
Newala
Lind ,
Uzoefu?
Mbaazi wanunuzi wengi ni wachuzi , wadosi huwa wanasubiri mizigo mastore or Godwin zao, huwa wanawapa tender Madalali na Madalali husubiri wateja wapeleke wenyewe Dar es salaamNapatikana ukanda ambao Mbaazi, Ufuta na Korosho vinapatikana kwa wingi sana...
Nida ipo , house ipo, elimu form 6, uzoefu Ni zaidi ya miaka 5 nafanya kazi hiiUna documents gani kama NIDA,leseni ya udereva,cheti cha ndoa nk.??
Elimu yako,uzoefu wako funguka mdogo wangu kupata connections sio kitu rahisi kama kuj@mb@
Kwa Mbaazi hakuna shida nikulipa ushuru wa halmashauri inaenda popote pale. Ufuta nikununua na kuuza magulioni faida ya sh 300 mpaka 1000 si haba ukiwa ma mzigo mkubwa na korosho ni sawa na ufuta kwa profit yakeSiku hizi Serikali ina emphasise mambo ya stakadhi ghalani, kwahiyo Wanunuzi wote wanakuja eneo ambalo Serikali imetenga kwaajili ya kushindanisha Wanunuzi, then wale wenye bei kubwa wananunua mazao yenu.
Unaweza kusubiri njia hii au uendelee na njia ya kutafuta mnunuzi wewe mwenyewe, ingawa probability ya kushindwa ni kubwa as Serikali ndiyo ina huo muongozo kuhusu mazao hayo ya biashara.
Anyways, Kujibu swali lako Wanunuzi wa mazao hayo walikuwa ni;
Miaka ya nyuma Kampuni ya Alpha Logistics ilikuwa ikinunua mazao hayo kisha kuyasindika na kuuza Nje ya Nchi., Kampuni ipo Jeti Lumo.
Kampuni nyingine ilikuwa ni ya Manji, sijui kama anaendelea na biashara hiyo baada ya purukushani na Serikali iliyopita.
Kampuni nyingine ni ya Mohamed Enterprises hao nahisi bado wananunua.
Kuna mahali nilihudhuria mnada wa ufuta, inaonekana mwaka huu Wakulima watapata faida kubwa kidogo ukilinganisha na Mwaka Jana.Kwa Mbaazi hakuna shida nikulipa ushuru wa halmashauri inaenda popote pale. Ufuta nikununua na kuuza magulioni faida ya sh 300 mpaka 1000 si haba ukiwa ma mzigo mkubwa na korosho ni sawa na ufuta kwa profit yake
Napatikana ukanda ambao Mbaazi, Ufuta na Korosho vinapatikana kwa wingi sana.
Kwa mwenye connection na Mtu au Kampuni yoyote inayojishughukisha na ununuzi wa mazao tajwa; Nipo tayari kufanya nao kazi kwa Nidhamu, Uaminifu na Ufanisi wa juu sana. ( Msimu wa mazao hayo ni kuanzia mwezi huu wa Mei mpaka Desemba).
Kwa mawasiliano naomba tuyafanye inbox.
Shukrani Sana
Hiyo faida ya tsh. 300 mpaka tsh. 1,000 ni kwenye kilo moja ya ufuta??Kwa Mbaazi hakuna shida nikulipa ushuru wa halmashauri inaenda popote pale. Ufuta nikununua na kuuza magulioni faida ya sh 300 mpaka 1000 si haba ukiwa ma mzigo mkubwa na korosho ni sawa na ufuta kwa profit yake