Napatwa na hisia kali za kufanya ngono

Napatwa na hisia kali za kufanya ngono

Anza kuangalia movie za kutisha mkuu.
Hiyo hali itaondoka tu
Habar wakuu,
Naombani mnisaidie tatizo langu, skuizi za karibuni nmekuwa na mhemko mkubwa sana wa kuwa na hamu ya kufanya ngono napatwa na hisia kali sana mpaka nashindwa kujizuia na isitoshe sina mwanamke wala mchumba, hali hii inanipelekea adi kutamani kufanya punyeto kuangalia video za uchi na akili yangu masaa 24 inawaza ngono,
Nyege zinanipelekea nafika hatua mpaka natongoza ata wanawake ambao sikulajia kabisa, ambao tumezoeana kama marafiki,
kiukweli hali hii siipendi inanitesa ndio maana nmekimbilia huku kupata japo ushaur wenu .
Asnten.
 
tatizo sipati na sina mda wote nashinda tu hom
Keep busy bro, kama bado unasoma basi soma kwa juhudi, engage in extracurricular activities zilizopo mtaani kwako cheza boli na wana, jikite kwenye ujasiriamali( ukiweza), kaimbe kwaya ( [emoji23]), acha kujifungia ndani.
 
kama ni mpenzi wa soup na nyama nyama acha kwanza.
 
Ndugu yang si uoe au unasubir nn? Kutongoza kila mtu utakuj pata maradh km umri na uwez unaruhusu oa au ata sogeza mwanamke geto tu...
 
Back
Top Bottom