Napatwa na hisia kali za kufanya ngono

Anza kuangalia movie za kutisha mkuu.
Hiyo hali itaondoka tu
 
tatizo sipati na sina mda wote nashinda tu hom
Keep busy bro, kama bado unasoma basi soma kwa juhudi, engage in extracurricular activities zilizopo mtaani kwako cheza boli na wana, jikite kwenye ujasiriamali( ukiweza), kaimbe kwaya ( [emoji23]), acha kujifungia ndani.
 
kama ni mpenzi wa soup na nyama nyama acha kwanza.
 
Ndugu yang si uoe au unasubir nn? Kutongoza kila mtu utakuj pata maradh km umri na uwez unaruhusu oa au ata sogeza mwanamke geto tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…