Napatwa na hisia kali za kufanya ngono

Jibake...!
 
AISEE NOMA SANA. TO JUST BE OUT OF SUCH SITUATION, EMBU JIPE MAJUKUMU MARA KWA MARA AU JISHUGHULISHE KWENYE MAMBO YANAYOFIKIRISHA ZAIDI UTAPUNGUZA MATAMANIO KWA KIWANGO FULANI. PIA FANYA MAZOEZI YA MWILI KILA ASUBUHI AU JIONI KUTOA USONGO NA HATA KUJIPA WASAA MWINGINE KAMA KULALA MAPEMA KWANI VIUNGO VIMECHOKA N.K, HII ITAPUNGUZA MAWAZO PINDI UKIWA IDLE USIKU KUWAZA NGONO KAMA UNAVYOPITIA. MOSTLY FOCUS ON YOUR HOBBIES & PRAY MUNGU AKUEPUSHIE JANGA LA UZINZI.
 
Asante
 
Tafuta shughuli ya kufanya ili kupunguza hizo hisia, I hope ukijishughulisha haukuwa na hisia za kingono Mara kwa Mara.
 
Ushauri wangu

Kuliko kupata magonjwa ya zinaa
Bora ukanunue sex toy uwe unajilipua mwenye mpaka utakapompata anayekufaa.
Hhahahaha! usauri huu mbovu sana na utamharibia maisha yake ya uhusiano! ukishaanza kutumia sex toys kuacha inakua ngumu kama kupiga nyeto vile sasa ubaya wenyewe atashindwa kuenjoy au kufeel ile pleasure ya real sex na ataona wanawake ni mizinguo tu! solution sio mazoezi pekeake hapo inabidi aanze kupiga mashine ipasavyo ila asiifuate ile mikurumbembe
 
Ni maamuzi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…