GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Umeanza kwa Pupa sana Kamarada ( Comrade ) sijui bado 'appointment hangover' inakusumbua pamoja na Ujana ulionao?
Jeuri ya Boss wako ( Mama ) ipo katika hizi Tozo mbalimbali sasa leo hii unavyotaka TCRA ipunguze kwa kutafuta Kwako Sifa kwa Watanzania huku ukimkosesha Mama Mapato ya Kuongezea nchi na Serikali yake ( ambayo nayo umo pia ) unategemea nini?
Ushauri wangu wa bure Kwako Comrade ( Kamarada ) Nape ( Waziri ) usipende sana Kukurupuka ( Kudemka ) kila ukiwa unakabiliana na Suala lolote kwani huwa unaharibu japo najua kwa Wewe sasa unajitahidi Kujitutumua ili kutuonyesha Watanzania kuwa Kazi unaiweza, Ulitumbuliwa na Hayati Kimakosa na kwamba Wewe umezaliwa kwa ajili ya hiyo Wizara tu na kwamba wengine siyo 'Competent' nayo.
Ukiona GENTAMYCINE nakusema Ukweli ( nakuchana Mubashara ) hivi jua nakupenda na sitaki Ukosee au Uharibikiwe hivyo nakuomba sana Waziri Nape jifunze Kwanza kutulia, kuchanganua Jambo, Kulitafiti na Kulitathmini kabla Mdomo wako au Vidole vyako havijakuwasha na kuitisha Press au kwenda Kuandika kule 'Twitani' Kwako.
Kile 'Chuo' cha Uongozi 'kinafeli' wapi?