Nape acha 'Kukurupuka' hili la 'TCRA' laweza 'Kukuharibia'. 'Boss' wako 99% anategemea hizo 'Tozo' ili nchi iende


Kuwekwa kwa tozo na kupandishwa kwa kodi ndio sababu ya kupanda kwa gharama za huduma hili jambo mbona dogo sana kulielewa? Kabla ya Nape aliyekuwepo alijaribu lakini jiulize alikwamia wapi? Ukitaka waongeze Mbs punguza tozo na kodi kwenye huduma basi na wao wataongeza Mbs kinyume na hapo hakuna atakaye kubali kupata hasara
 
Ina maana huyu hajui Tozo walizoweka ni kubwa kuliko gharama za vifurushi? Kama nia yake ni kumnufaisha mtumiaji apunguze Tozo.
Ila tozo pasua kichwa.
====
Ukituma 230,000 tozo 2058 (0.9%)
Ukituma 50,000 tozo 1435 (2.9%)
Ukituma 40,000 tozo 1050(2.6%)
Ukituma 13,000 tozo 224 (1.7%)
Ukituma 11,000 tozo 224 (2.2%)

Nina imani kodi ndiyo tozo badala ya ada kama inavyoandikwa kwenye meseji za miamala.

Hizo takwimu hapo juu zinaonyesha kuwa, mtu wa kipato cha chini ndiye ana kamuliwa zaidi. Angalia asilimia ya tozo hizo kwa pesa iliyotumwa. Mwenye kutuma nyingi ndiye kalegezewa tozo asilimia 1. Wakati hawa wa chini tozo asilimia 2 mpaka 3. Na hawa ndiyo wengi sana.
 
Siasa za Makampuni ya simu kupandisha bei ya vifurushi zilianza hata kabla ya kupitishwa kwa Sheria ya kuongeza tozo kwenye miamala na mafuta! Na ndiyo maana hata wewe mwenyewe umekiri kwenye haya maelezo yako.

Jambo lingine unatakiwa ufahamu kuwa makampuni ya simu yapo kwa ajili ya kufanya biashara na kupata faida kubwa. Hivyo yakiachwa yafanye yatakavyo, walaji (wananchi) ndiyo wanao umia.

Hata kama yangepunguziwa hiyo kodi kwa kiwango cha chini kiasi gani, bado yangetuibia tu kwa manufaa yao, na pia kwa manufaa ya nchi zao. Hivyo kwa upande wangu namuunga mkono Nape Nauye.
 
You are right but clarification is needed to make it more aware.

Wakati wizara ikiwa chini ya Ndugulile Sheria ya tozo kwenye muda wa maongezi ilipitishwa pamoja na Tozo kwa upande wa miamala ya simu. Tozo za kwenye airtime zipo tofauti na hizi za kwenye miamala ya Simu, hai'hitaji hela ya ziada kama tozo ama ushuru.

Upande wa miamala ya fedha ili kutoa ama kutuma Tsh 10,000 /= itakuhitaji 224 /= ya ziada kama Tozo ya Serikali badala ya Tsh 1,450/= tuu ili kutoa kwa wakala au Tsh 495/ = tuu ili kutuma kwa mtumiaji mwengine.

Kwenye airtime (muda wa maongezi) ipo kwa namna hii tofauti, kwenye mgawanyiko wa muda wa maongezi wa Sh 500, kuna Tsh 5 itakatwa kama Tozo na VAT ikiwemo kiasi kadhaa ( 18%) kile kinachobaki ndio Malipo kwa mtoa huduma (Tigo,Voda,nk ) ili kukupatia wewe bundle lako (Dk , sms na Mbs ).



Hivyo Reducation ya Tsh 5 mpaka 223(chart below) kama Tozo ndio inayo pandisha gharama za vifurushi kwa kua tu mtoa huduma amepunguziwa malipo yake.

 
Vifurushi vilianza kupanda kabla ya tozo , changanua akili mkuu
 
Mawaziri aina ya Nape ni wajinga,kabla ya kukirupuka na matamko ya kipuuzi,muwe mnajipa mda wa kufuatilia kwanza kwa nini vifurushi na vitu vingine vimepanda.
 
Hili halina akili linadhania JF imejaa wapumbavu wenzake
Tokea niache Kukukaza na kukupitia sana 'Vumbi Road' ambako ulikuwa Unanogewa mno umetokea Kunichukia kwakuwa Wivu umekujaa na nawakaza wapenda 'Vumbi Road' Wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…