Huyu Januari yuko overrated sana, hana uwezo wowote wa kuwa Rais wa Tanzania. Watu wanasahau kuwa bila kupigiwa debe na baba yake kwa JK huyu kipara angekuwa mpagazi tu kama wasambaa wengine pale Kariakoo (WAGROVESU). Hana CV ya kujivunia mwenyeweHizo ni mbinu zao za kimkakati hizo.hao ni majambazi
Hii nchi ina mambo ya kindezi sana.yaani kikundi flani cha watu kinajiamulia kumtukuza mtu fulani kwa maslahi yao binafsiHuyu Januari yuko overrated sana, hana uwezo wowote wa kuwa Rais wa Tanzania. Watu wanasahau kuwa bila kupigiwa debe na baba yake kwa JK huyu kipara angekuwa mpagazi tu kama wasambaa wengine pale Kariakoo (WAGROVESU). Hana CV ya kujivunia mwenyewe
CCM wanachojua ni kuokota okota watu.Huyu Januari yuko overrated sana, hana uwezo wowote wa kuwa Rais wa Tanzania. Watu wanasahau kuwa bila kupigiwa debe na baba yake kwa JK huyu kipara angekuwa mpagazi tu kama wasambaa wengine pale Kariakoo (WAGROVESU). Hana CV ya kujivunia mwenyewe
Makamba ni dini gani bibie? Pliz nieleze.Makamba,membe ni watu waliopingwa hadharani na katoliki,na Hilo linaendelezwa na waamini
Najua membe alikua potential wa urais,ni mkatoliki wa lindi,lakini ana ndugu wengi waislam,hakuwa na shida na Tanzania kujiunga OIC,basi hili liliwapanua sana midomo maaskofu
Kwa makamba sijui shida ni nini mpaka kadinali mwanya kumpinga hadharani
Bado tunakumbuka kisa cha muitaliano, dada yake January aitwaye Mwamvita.Kwa makamba sijui shida ni nini mpaka kadinali mwanya kumpinga hadharani
Ana bachelor tayari,mambo ya dada yake yanamhusu nini?..nakumbuka kadinali mwanya alisema hatuwezi kuongozwa na wanyoa viparaBado tunakumbuka kisa cha muitaliano, dada yake January aitwaye Mwamvita.
Pia tunakumbuka tukio la Gallanos High School na yeye kufutiwa ....na NECTA.
Nawasaidia watu wa VETTING mafaili muhimu...
Rafiki yake huyo kadinali mbona alinyoa kipara na aliongoza nchi?Ana bachelor tayari,mambo ya dada yake yanamhusu nini?..nakumbuka kadinali mwanya alisema hatuwezi kuongozwa na wanyoa vipara
Wewe akili yake umeiona kwenye jambo gani?!Kiukweli mwamba anaakili sana tena sana ila kwa vile yupo CCM .. mm binafs ukiwa CCM hata kama una akili automatically unakuwa hauna akili
Yaani ukiwa CCM kama mwanamke hata kama una akili plus nyashi.. ukinitaka nakukataa
Sasa hilo bumunda si ni ziroKwa hiyo yeye hana akili
😄
Ova
Ni kweli Januu yuko vizuri sana kichwaniChama cha majambazi ni majitu ya hovyo Sana..
Subiri hapo hapo ulipokaa, hata nchi yako haujui ina madereva wangap?Wewe akili yake umeiona kwenye jambo gani?!