Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,285
Kinana alichosema ni kuwa si rahisi kutengeneza Katiba itakayo mridhisha kila mtu hivyo CCM kama chama yatakuwepo tunayoyaunga mkono na mengine tunaweza kuwa na ushauri tofauti lakini tusibiri kikao cha Kamati Kuu kinakutana jtatu tutakuwa na msimamo wa taasisi. Namimi nikarudia hapo hapo. Nilichosahihisha ni dhana kuwa CCM inapinga rasimu mia kwa mia, sio sahihi! CCM haipingi rasimu ya Katiba bali inaweza kuwa na maoni tofauti kwa baadhi ya mambo!
Nape
mheshimiwa kuna thread moja kuhusu mbinga umeipitia?
Japo nakushauri umalize kwanza shughuli zako zote humu ndani maana ukiisoma tu lazima ulog out!