Nape amkana Kinana


mheshimiwa kuna thread moja kuhusu mbinga umeipitia?
Japo nakushauri umalize kwanza shughuli zako zote humu ndani maana ukiisoma tu lazima ulog out!
 
Wewe nawe uko biased, mmoja kasema haiungi mkono asilimia 100 (Kinana) mwingine kasema anaikubali (Nape). Wote wameyatamka haya hadharani, iweje mmoja awe sahihi na mwingine asiwe sahihi kwa mujibu wako? KCCM wameshaitaarifu Tume kwamba wataunda Baraza la Katiba ili watoe maoni yao, na nijuavyo maoni hayo hayapaswi kuwa siri. Ndiyo maana wanakutana.
 
Nahisi anakaugonjwa kanaitwa chademanism hivyo,kila akiitwa au kuulizwa swali huhisi kama vile cdm wamemwiliza!
 
nilisha tabiri kuwa ccm watakua kama kanu ya kenya kipindi moi alikuwa anamaliza muda wake pale ambapo tulishuudia wana kanu wengine walipoungana na kuunda narc,hili nalo naona kwa ccm watagawanyika vikundi vikundi ndo itakuwa mwisho wa ccm.RIP CCM.
 
Nape, chonde chonde hakikisha aidha ni serikali moja au tatu. Ni uhaini wa Tanzania Bara kukubali kuwa na serikali mbili. Tunasubiri kwa hamu tamko la jumatatu. Naona Wazeanji wamesituka na sasa hawataki serikali tatu. Mtoto akililia wembe mpe, walilikoroga acha walinywe ila CCM yetu unafiki na kuwakumbatia wazenji. Mkipitisha serikali mbili, jua CCM tutaonekana majuha
 
Kati ya Kinana na Nape nani kiongozi wa mwenzake. I thought Nape was answerable to Kinana? If that is the case how dare Nape utter those words. Chama kinapoteza mwelekeo.

Kama baraza la mawaziri linaweza kutofautiana kauli, hicho ni kituko kidogo sana.
 
KATIBA SIO MALI YA CCM WALA CHADEMA NI MALI YA WATANZANIA,MBONA MNATAKA TUTUKANE TUPIGWE BAN NYIE WANA SIASA?.KUWENI SERIOUS YEYOTE AMBAYE A TAPINGA RASIMU HII KWA LENGO LA KUIBOMOA TUTAPAMBANA NAE HATA KAMA NI CHADEMA ..a
mbona mnagombaniana kitu cha kwetu wote.. tafuteni katiba yenu watanganyikaaaaaaaaaaaaaa.. hamna nyumba mnatapa tapa...
 
Tunawataka wanasiasa wasitusemee sisi wananchi, watuache tutoe maoni yetu wenyewe bila kushawishiwa!
 

Nape kazi yako sasa ni kukanusha kilichosemwa na wakuu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…