carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
bado tusubirie magazeti ya kumpongeza toka kwa Tlaatlaah Lucas Mwashambwa bila kumsahau mjomba Pascal MayallaUkiona unasifiwa na wapinzani wako basi jiangalie vizuri!
Halafu akaigeuza Mozambique kuwa nchi masikini duniani namba moja ikifuatiwa na tanzania na swahiba wake nyerereIf one day you hear the Europeans praise me, know that I have betrayed you - Samora Machel
Napeeèeee anasubiri Migulu Charlbury eti akae yeye khaaaa kazi sanaMbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye amempongeza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa na kusimamia misimamo yake hata pale inapokuwa haikubaliki na wengi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Novemba 1, 2026 akichapisha picha ya Lema na kuambatanisha na ujumbe "Wenzako wakiamua kukuelewa, umekisaidia sana chama chako. Lakini umeonyesha ukomavu, Mwanasiasa wa kweli husimamia anachokiamini hata kama kwa walati huo sio "popular"...sio hoja maarufu mbele za wengi"
Ujumbe huu unakuja ikiwa ni muda mchache mara baada ya Lema kuzungumza na vyombo vya habari zaidi ya masaa mawili akijibu tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake huku akitoa matamko kama iwapo zikithibitika atakuwa tayari kujiuzulu.
Chanzo : Jambo tv
Ujumbe huu umfikie Lisu na vibaraka wengineIf one day you hear the Europeans praise me, know that I have betrayed you - Samora Machel
Bundi atua CDM ukiona ndugu yako akisifiwa sana na wachawi, basi shtuka na kutambua naye ni "member" mpya.Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye amempongeza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa na kusimamia misimamo yake hata pale inapokuwa haikubaliki na wengi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Novemba 1, 2026 akichapisha picha ya Lema na kuambatanisha na ujumbe "Wenzako wakiamua kukuelewa, umekisaidia sana chama chako. Lakini umeonyesha ukomavu, Mwanasiasa wa kweli husimamia anachokiamini hata kama kwa walati huo sio "popular"...sio hoja maarufu mbele za wengi"
Ujumbe huu unakuja ikiwa ni muda mchache mara baada ya Lema kuzungumza na vyombo vya habari zaidi ya masaa mawili akijibu tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake huku akitoa matamko kama iwapo zikithibitika atakuwa tayari kujiuzulu.
Chanzo : Jambo tv
Ukiona adui yako anakusifia Rudi nyuma ujikague vizuri Kwasababu Kuna sehemu umekosea na yeye ananufaika sana.Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye amempongeza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa na kusimamia misimamo yake hata pale inapokuwa haikubaliki na wengi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Novemba 1, 2026 akichapisha picha ya Lema na kuambatanisha na ujumbe "Wenzako wakiamua kukuelewa, umekisaidia sana chama chako. Lakini umeonyesha ukomavu, Mwanasiasa wa kweli husimamia anachokiamini hata kama kwa walati huo sio "popular"...sio hoja maarufu mbele za wengi"
Ujumbe huu unakuja ikiwa ni muda mchache mara baada ya Lema kuzungumza na vyombo vya habari zaidi ya masaa mawili akijibu tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake huku akitoa matamko kama iwapo zikithibitika atakuwa tayari kujiuzulu.
Chanzo: Jambo TV
Alafu akaja mwinyi akaifanya Tanzania nchi tajiri namba moja afrika akifuatiwa na ‘mama’ akaifungua hadi kua nchi namba moja kwa utajiri dunianiHalafu akaigeuza Mozambique kuwa nchi masikini duniani namba moja ikifuatiwa na tanzania na swahiba wake nyerere
Madhara ya kukimbia shule na kuwa na elimu ‘mbali mbali’ yame ku gharimu katika fasihi. PoleUjumbe huu umfikie Lisu na vibaraka wengine
Nape msenge sana. Rinafiki likubwa. We subiri siku yako, itakuja tu. Wewe umeonesha ukomavu gani kwenye liCCM. Wanaume wazima na pumbu zenu namuinamia Bi EdaMbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye amempongeza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa na kusimamia misimamo yake hata pale inapokuwa haikubaliki na wengi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Novemba 1, 2026 akichapisha picha ya Lema na kuambatanisha na ujumbe "Wenzako wakiamua kukuelewa, umekisaidia sana chama chako. Lakini umeonyesha ukomavu, Mwanasiasa wa kweli husimamia anachokiamini hata kama kwa walati huo sio "popular"...sio hoja maarufu mbele za wengi"
Ujumbe huu unakuja ikiwa ni muda mchache mara baada ya Lema kuzungumza na vyombo vya habari zaidi ya masaa mawili akijibu tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake huku akitoa matamko kama iwapo zikithibitika atakuwa tayari kujiuzulu.
Chanzo: Jambo TV
The quote is Distinguishable from the what is going on in 21st Century bitch!!!If one day you hear the Europeans praise me, know that I have betrayed you - Samora Machel