Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Waziri wa Habari Nape Nnauye amemuomba RC Chalamila apunguze zile doria za usiku kwa siku ya leo, Juni 18, 2024 kwa kuwa wadau wa habari watakuwa na mchapalo usiku wa leo.
Nape amesema hayo kwenye kongamano la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika Mlimani City.
Kwasiku za karibuni wilaya ya Ubungo imekuwa ikifanya msako wa makahaba maeneo mbalimbali ikiwemo nyumba za wageni na madanguro.