Nape amzodoa kwa aibu Mnyika kuhusu wanawake

Nape amzodoa kwa aibu Mnyika kuhusu wanawake

Ndege ya Uchumi,
Mkuu swala limetoka ktk kuteuana na kuwa swala la 50/50 bungeni kwa sababu sio nchi zote dunuani zina kipengele cha Kuteua baadhi ya wabunge..Inaonyesha kwamba ni haki ya wanawake kuwa na wawakilishi sawa na wanaume bungeni pamoja na kwamba wabunge wengi huchaguliwa...
Nadhani Chadema wao wameisha fikia maamuzi zaidi kuhusiana na uteuzi wa wabunge hawa na ndicho kilichoanzisha mjadala mzima kati ya Mnyika na Nape..sasa tunapotoka ktk hoja iliyotangulia na kupendekeza mernigne zaidi ndipo unapoona mgongano wa mitazamo..Tumeshindwa kutofautisha wabunge wateule na wabunge waliochaguliwa..Changu, sangara wote samaki tunawapika kwa mafuta yale yale!
 
..kama CCM wako serious na uwiano wa 50/50 ktk nafasi za uongozi basi waanze na baraza la mawaziri.

..kuteua baraza la mawaziri ambalo ni 50% wanawake hakuhitaji ridhaa ya bunge, bali uamuzi wa Raisi akishauriana na Waziri Mkuu.

..this can be done today!!
 
Back
Top Bottom