chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,214
nani sasa aliyesemawaache wafu wawazike wafu wenzao....sio mimi niliyesema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani sasa aliyesemawaache wafu wawazike wafu wenzao....sio mimi niliyesema
CDM huwezi kuwaona hapo kwa kuwa aliyekufa siyo mwenzao katika imani.
Kwanini wakapamba na rangi ya kijani nijuavyo rangi ya zambarau ni ya misiba hawajamtendea haki marehemu (RIP Sharo)
CDM huwezi kuwaona hapo kwa kuwa aliyekufa siyo mwenzao katika imani.
Wanatapatapa hao dadangu. Wakialika watu kwenye mikutano yao hawafiki sasa leo wamejipatia nyomi la kufa mtu siunajua sharo alikuwa famous kwahiyo inatarajiwa waombolezaji watakuwa wengi.
Usishangae siku za mbeleni picha za msiba wa sharo wakaja kuzitumia kutuonyesha jinsi mkutano wao ulivyofunika huko muheza.
ficha upumbavu wako usifiche hekima yako mkuuCDM huwezi kuwaona hapo kwa kuwa aliyekufa siyo mwenzao katika imani.
Atakuwa kamwakilisha mwenyekiti wa kamati ya mazishi ya members wa mafree...... mh. Jk.
Yeah, umesema ukweli. Chadema hawaamini katika maigizo.CDM huwezi kuwaona hapo kwa kuwa aliyekufa siyo mwenzao katika imani.