njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
kwahiyo hao waliovaa sare za chama waliambiwa kuna kikao au mkutano wa chama?
kwa hiyo wataka kuwachagulia watu nini wavae... wamevaa kwa mapenzi yao...! hata weye ungekwenda ukapiga gwanda ukiamua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo hao waliovaa sare za chama waliambiwa kuna kikao au mkutano wa chama?
lol...........amazing !!!!!!
Kuna picha nimeona jeneza lililobeba mwili wa marehemu limefunikwa kwa bendera ya CCM.
Ni ndugu waliomba iwe hivo au kijana alikuwa na uongozi CCM au ndo kutafuta political popularity kwenye mazishi,unaweza kufuata hiyo link kwa picha.
http://4.bp.blogspot.com/-_Oox3SjoH6A/ULbtJQhs4dI/AAAAAAACROw/gVOq-KDXYmg/s1600/sharo.jpg
Cdm sijawaona Nape kaongoza mazishi na eneo zima limepambwa kwa rangi za kijani...kulikoni?
Kwanza Napenda kutoa shukrani za dhati kwa mama yako mzazi kwa kutuletea mrembo Kama wewe hapa duniani ili kutupa wanaume changamoto ya kutafuta hela.Kwanini wakapamba na rangi ya kijani nijuavyo rangi ya zambarau ni ya misiba hawajamtendea haki marehemu (RIP Sharo)
Wapinzani wana kipindu pindu cha ubongo.
nimeona vitAMBAA VIWILI
JUU YA JENEZA, KILICHO JUU NDIO CHA KIISLAMU HASWA, CHA CHINI BILA SHAKA NI BENDERA YA CCM
ANGALIENI KWA UMAKINI
Haikuwa bendera ya chama ile ila ccm ni chama kubwa ndio maana hata usiowadhania wapo ndani ccm,inawezekana hata wewe ni ccm ila hujajijua.
kwa hiyo wataka kuwachagulia watu nini wavae... wamevaa kwa mapenzi yao...! hata weye ungekwenda ukapiga gwanda ukiamua
acha ww na huyo alie vaa shati na kapelo nae kafunikwa au?
Kwanza Napenda kutoa shukrani za dhati kwa mama yako mzazi kwa kutuletea mrembo Kama wewe hapa duniani ili kutupa wanaume changamoto ya kutafuta hela.
Pili, Marehemu Sharo (RIP) alikuwa ni muumini wa dini ya kiislamu,na katika uislamu hiyo kijani ni rangi husika.
Ndio maana hata kwenye harusi nyingi za kiislamu zinapofungwa bibi harusi huwa anakuwa amevalia gauni ya kijani ni sunna. Kama una rafiki wa kiislamu anaweza kukuelimisha zaidi.
Ps: usisahau kumpa mama yako Shukrani yangu ya dhati..kwa niaba ya midume yote ya Kitanzania.
Kwa hiyo unataka nikuwekee kila picha ya harusi ya kiislamu bibi harusi akiwa na vazi la kijani???? Are you effin kidding me!!??Tuonyeshe mifano kwa njia ya picha kama ikiwezekana, kutetea hoja yako kwamba "harusi nyingi za kiislamu zinapofungwa bibi harusi huwa anakuwa amevalia gauni ya kijani ni sunna".
Ikiwezekana, weka pia picha za mazishi ya Kiislamu zikionyesha vitambaa vya kijani na njano vimetanda kwenye majeneza.
Navyofahamu, nyeusi ndiyo rangi kuu ya Uislamu.