Nape asikitishwa na maslahi duni ya wanahabari

Nape asikitishwa na maslahi duni ya wanahabari

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri Nape amesema msiba wa Joachim Kapembe aliyefariki akishuka Mlima Kilimanjaro umemfanya afikirie kuhusu maisha ya familia ya muandishi huyo.

Akiwa katika Kongamano la maendeleo ya sekta ya habari amesema mwaka 2023 serikali itaweka nguvu nyingi katika kuboresha maslahi ya waandishi wa habari na uchumi wa vyombo vya habari.

Kwenye maslahi ya vyombo vta habari ni pamoja na bima za afya na masuala mengine ya kuboresha mazingira yao
 
Unasikitishwa wakati wewe ni waziri basi tunaomba ushaidi ulete kama ulivotuambia bando
 
Back
Top Bottom