Nape ataka "faili" la Rose Muhando

Khaaaaaa !!!!!! Rose atapata dhambi hataki kumuimbia Mungu ???
 
Hawa Msama ndio watakuwa matapeli
wenyewe haiwezekani kitu cha aina moja kinajirudia Mara kwa Mara.

A
 
Maskini huyu mama sijui anayo yapitia, alikuwa anaeleweka ila sijui dhoruba gani imemkumba. Mungu amsaidie aione njia tena
Hamna cha dhoruba Bali Ni kiburi chake tu usiweke maslahi mbele kwenye Kazi ya Mungu. Kiburi hiki shetani kawateka watumishi wengi Sana hasa waimbaji na baadhi ya wahubiri ukimsikia mwimbaji wa injili anadai milioni kadhaa ndio atokee kwenye kuinjilisha huyo ujue Ana pepo
 
huyu rose mbona analalamikiwa kwa huu utapeli!na hao msama mbona walishamlalamikia sana inakuwaje wanaendelea kumpa hela ili hali wanajua ni tapeli!
Msama na Rozi wanajuana sana, baada ya Producer huyo kuingiza mambo ya kidunia zaidi kwenye habari za Mungu. Anavuna anachopanda.
 
Ongea polepole mi nitakuelewa
 
Na huyu muheshimiwa akileta za kuleta mzingue vilevile....

Hajui kua uko kwy game toka kitambo......wanyoroshe hao Dada Rose hadi wakae sawa!
 
Tatizo ni kuifanya inayoitwa huduma ya Mungu biashara.
 
We Nape huyo Msama asikuzingue, mtumbue yeye anatumia jina la Rose kukusanya watu, si bure
 
We msama unamtafutia nini Rose muhando??hii sio mara moja kumchafua huyu dada halafu unamuharibia huku nthen mkikutana mnayamaliza kimya kimya jaribu kuwa na utu homeboy.
 
Huko kwenye hiyo Sanaa yapo mengi makubwa Zaidi ya huyo Rozi Mhando, labda aseme anataka amsogeze karibu yake zaid.
 
Nape awe makini na Msama Production, ni opportunists wakubwa hawa watu. Kama Rose Mhando ni tapeli kwanini wasitoe taarifa polisi? Waziri anahusikaje na kesi za utapeli? Kila mtu anatafuta ulaji na Rose Mhando inaelekea amechoka kuwa ngombe wa maziwa.

Msama kwa kugundua rais Magufuli anatoka Geita haraka haraka kapeleka tamasha la Pasaka Geita akitegemea Magufuli angekuwa huko wakati wa Pasaka ili ahudhurie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…