Sio bure kuna kitu kinatafutwa hapo,huwezi ukawa unampa tapeli hela zako kila Mwaka na anakutapeli,kwangu Mimi wa kuchungizwa angekuwa ni huyo mtapeliwa sio tapelihuyu rose mbona analalamikiwa kwa huu utapeli!na hao msama mbona walishamlalamikia sana inakuwaje wanaendelea kumpa hela ili hali wanajua ni tapeli!
Mshana naona hili suala lomekaa kimadai zaidi. Sio saizi wa waziri. Kwa nini waziri asifanye kazi zinazomuhusuHapa nina mashaka mbona hii ni police case ya kawaida kabisa isiyomhusu waziri? Wale wawili ni wafabiashara kupitia mgongo wa dini wamedhulumiana....Nape aangalie mipaka ya kazi yake na ukomo pia ili kuepuka mgongano wa kiutendaji