Nape ataka "faili" la Rose Muhando

Nape ataka "faili" la Rose Muhando

Kabla ya Rose Nape anganza na wale wanaopelekaga wanamichezo kwenye Olympic au Madola huku wakijua hawana uwezo wa lolote......

Kwani hizi ishu zinafanana, haiwezekani Waandaaji wanaojua tabia ya Rose alafu wanaendelea kumpa pesa zao.....labda hata yeye (Rose) huwa anawashangaa.
 
Msama promotions ni jipu bivu...ila zake zinahesabika
 
huyu rose mbona analalamikiwa kwa huu utapeli!na hao msama mbona walishamlalamikia sana inakuwaje wanaendelea kumpa hela ili hali wanajua ni tapeli!
Sio bure kuna kitu kinatafutwa hapo,huwezi ukawa unampa tapeli hela zako kila Mwaka na anakutapeli,kwangu Mimi wa kuchungizwa angekuwa ni huyo mtapeliwa sio tapeli
 
Kwani mahakama hazioni?... Kama kweli wametapeliwa waende mahakamani. Otherwise wote Wapigaji tu.
 
Kama kweli Rose alitapeli hao msamaha kwanini wasimpelekee mahakamani kwani sheria hakuna
 
upuuzi huu mahakama hazipo au...kila kitu Nape kwani ye ndio hakimu...mnatuchezea tu akili sa mnalalmika kila siku mbona ,nampa hela za show bado
 
M
Hapa nina mashaka mbona hii ni police case ya kawaida kabisa isiyomhusu waziri? Wale wawili ni wafabiashara kupitia mgongo wa dini wamedhulumiana....Nape aangalie mipaka ya kazi yake na ukomo pia ili kuepuka mgongano wa kiutendaji
Mshana naona hili suala lomekaa kimadai zaidi. Sio saizi wa waziri. Kwa nini waziri asifanye kazi zinazomuhusu
 
Back
Top Bottom