Nape: Bei ya internet imeshuka sana

Nape: Bei ya internet imeshuka sana

Nilikuwa sehemu wanatumia Internet hiyo inayosemwa ya fibre, mkongo wa taifa sijui, waliponiambia kuwa iko chini ya TTCL ndo nikaelewa. Jinsi ilivyo kwa sasa, umeme wa Tanesco una afadhali, internet inakataa kwa saa 23.5 kwa siku!
 
Eeeee huu mkongo ulikuwa bado haujaisha?

Tokea JK amekuja JPM sasa SSH. Tunasafari ndefu sana.
 
Daaah ...hivi hawa Halotel ni kwangu tu au kwa wote....zamani Gb 1 naona mpira hadi dakika 90 zinaisha jana nimenunua GB 1 hata half time sikufika kimeisha nini shida jamani??
 
Anaona imeshuka kwa vile yeye ana mshahara na marupurupu mazuri hivyo anasahau watanzania wengi hatuna maisha mazuri
 
Back
Top Bottom