Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma. Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa upande wa Internet Bundles ambazo zimekuwa zikishushwa kiwango kila kunapofanyika mabadiliko. Je na...