wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 814
- 1,107
Mjadala wa leo Bungeni ni mjadala muhimu sana kwa watanzania. Lengo mahsusi la mjadala wa leo ni wabumge kutoa elimu au kuwapa mwamga watanzania kuhusu malalamiko mengi ya wananchi kuhusu ubinafisishwaji wa bandari ya DSM
Mh Nape mda wake wote, mwanzo mwisho kautumia kumsifia Rais badala ya kutoa elimu ya umuhimu wa kubinafisisha bandari. Mwisho anahitimisha mchango wake kwa kumnanga JPM kwamba katika mkataba wa bomba la mafuta la Hoima haukuwa na uwazi na haukujadiliwa bungeni. Na mh spika hakuuficha unafiki wake kwa kumjibu kwamba mkataba huo ulijadiliwa bungeni
KWELI JASILI HAACHI ASILI. MH NAPE NI CHAWA ANAETIA AIBU HATA FAMILY YAKE