Mkonowatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,107
- 1,012
Nape ni hopeless
Yena wabunge wa ccm wengi waimba mapambio kwa bibi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape ni hopeless
Kuna mtu alisema ukiwa na kichwa kikubwa na akili ndogo unaiumiza miguu. Pastor Shaboka😁Tena hua anaongea kwa kujiamini sana wakati ni kichwamaji tu
Mchora mawe ni janga la taifa. Nae mama haelewi kitu kuhusiana na huyo jamaa.Huyo jamaa sijawahi kumuelewa kabisa na mpaka rangi mawe....
Ukiona hivyo, jua hana sifa. Ni choko na kahabaa kisiasa. Nadhani kusifia huu muungu wao ndiyo sera aliiyoanzisha Magufuli asijue madhara yake. Watasifiana hata kunyaaaMjadala wa leo Bungeni ni mjadala muhimu sana kwa watanzania. Lengo mahsusi la mjadala wa leo ni wabumge kutoa elimu au kuwapa mwamga watanzania kuhusu malalamiko mengi ya wananchi kuhusu ubinafisishwaji wa bandari ya DSM
Mh Nape mda wake wote, mwanzo mwisho kautumia kumsifia Rais badala ya kutoa elimu ya umuhimu wa kubinafisisha bandari. Mwisho anahitimisha mchango wake kwa kumnanga JPM kwamba katika mkataba wa bomba la mafuta la Hoima haukuwa na uwazi na haukujadiliwa bungeni. Na mh spika hakuuficha unafiki wake kwa kumjibu kwamba mkataba huo ulijadiliwa bungeni
KWELI JASILI HAACHI ASILI. MH NAPE NI CHAWA ANAETIA AIBU HATA FAMILY YAKE
.Huyo jamaa sijawahi kumuelewa kabisa na mpaka rangi mawe....
Leo namuona anaongea mabega yote kayapandisha juu km anakata kupaa,afu mikwara kibao yan jamaa msenge sana yule,mzee wa hatukubali yan km amepanga kumtafutia mbowe watu wakaishi naeTena hua anaongea kwa kujiamini sana wakati ni kichwamaji tu
Huyo ni panya roadMjadala wa leo Bungeni ni mjadala muhimu sana kwa watanzania. Lengo mahsusi la mjadala wa leo ni wabumge kutoa elimu au kuwapa mwamga watanzania kuhusu malalamiko mengi ya wananchi kuhusu ubinafisishwaji wa bandari ya DSM
Mh Nape mda wake wote, mwanzo mwisho kautumia kumsifia Rais badala ya kutoa elimu ya umuhimu wa kubinafisisha bandari. Mwisho anahitimisha mchango wake kwa kumnanga JPM kwamba katika mkataba wa bomba la mafuta la Hoima haukuwa na uwazi na haukujadiliwa bungeni. Na mh spika hakuuficha unafiki wake kwa kumjibu kwamba mkataba huo ulijadiliwa bungeni
KWELI JASILI HAACHI ASILI. MH NAPE NI CHAWA ANAETIA AIBU HATA FAMILY YAKE
Their days are numberedMzee wa kujipendekeza [chawa]. Anajiona ana hati miliki ya nchi yetu.
Msomi wa masters yuoe hivyo lazima ana madin muhim kichwan tena nadhan amesoma mzumbeElimu gani hiyo upewe na Nape?
Wanatuma ujumbe kwa wananchi kuwa nchi ni ya watawalaNape Nnauye tupitishe mkataba huu kwa kishindo ili kutuma Ujumbe" sasa nape kwa akili yako fupi" unadhani una mkomoa Mbowe au Ukoo na kizazi chako?
Iko shida moja kubwa Tanzanian. Kubebana. Mtoto wa fulani ni lazima apewe heshima ya wazazi wake. Hilo ndiyo tatizo kubwa. Kuna baadhi ya mawaziri hawakutakiwa katika nafasi walizonazo. Lakini kupitia wazazi wao ni viongozi wa kitaifa.Tz Ina Kila kitu isipokuwa viongozi wenye vision tuuu !! Ndio tatizo