wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 813
- 1,107
Mzee wa kujipendekeza [chawa]. Anajiona ana hati miliki ya nchi yetu.Nape Nnauye tupitishe mkataba huu kwa kishindo ili kutuma Ujumbe" sasa nape kwa akili yako fupi" unadhani una mkomoa Mbowe au Ukoo na kizazi chako?
Binafsi nimemshangaa sana, badala ya kutoa elimu ya faida na hasara za mkataba anapendekeza eti kudeal na wenye mawazo tofauti na makusudi ya serikali kwenye mkataba wenyewe. Mh.Nape hoja hujibiwa kwa hoja na kwa upole na upendo na ndipo mtu aelewe vema sio ukali na vitisho unaharibu maana ya majadiliano .Mjadala wa leo Bungeni ni mjadala muhimu sana kwa watanzania. Lengo mahsusi la mjadala wa leo ni wabumge kutoa elimu au kuwapa mwamga watanzania kuhusu malalamiko mengi ya wananchi kuhusu ubinafisishwaji wa bandari ya DSM
Mh Nape mda wake wote, mwanzo mwisho kautumia kumsifia Rais badala ya kutoa elimu ya umuhimu wa kubinafisisha bandari. Mwisho anahitimisha mchango wake kwa kumnanga JPM kwamba katika mkataba wa bomba la mafuta la Hoima haukuwa na uwazi na haukujadiliwa bungeni. Na mh spika hakuuficha unafiki wake kwa kumjibu kwamba mkataba huo ulijadiliwa bungeni
KWELI JASILI HAACHI ASILI. MH NAPE NI CHAWA ANAETIA AIBU HATA FAMILY YAKE
Tena hua anaongea kwa kujiamini sana wakati ni kichwamaji tuMzee wa kujipendekeza [chawa]. Anajiona ana hati miliki ya nchi yetu.
Asali tamu sana,inaondoa hata akili ile ya Kawaida(Common sense).Mjadala wa leo Bungeni ni mjadala muhimu sana kwa watanzania. Lengo mahsusi la mjadala wa leo ni wabumge kutoa elimu au kuwapa mwamga watanzania kuhusu malalamiko mengi ya wananchi kuhusu ubinafisishwaji wa bandari ya DSM
Mh Nape mda wake wote, mwanzo mwisho kautumia kumsifia Rais badala ya kutoa elimu ya umuhimu wa kubinafisisha bandari. Mwisho anahitimisha mchango wake kwa kumnanga JPM kwamba katika mkataba wa bomba la mafuta la Hoima haukuwa na uwazi na haukujadiliwa bungeni. Na mh spika hakuuficha unafiki wake kwa kumjibu kwamba mkataba huo ulijadiliwa bungeni
KWELI JASILI HAACHI ASILI. MH NAPE NI CHAWA ANAETIA AIBU HATA FAMILY YAKE
Hapo sasaKama Mbowe asiingetia neno hawa vichwa maji wangechangia nini?